Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

Kweli jambo hili ni Baya mkuu
 
Ni vizuri mke anapojali kuliko mume.
Inaonyesha mapigo ya Inonga na Kibu D kayakubali.
Ajabu mume kakaa kimya mke yupo amefunga kibwebwe na kucheza mduara.
Inaonyesha mume amemfikisha mke anapostahili.To be continued -----
Mke yupo kwenye vikoba lazima atakuja na stori mpya.
Mbinuko oyeeee.
 
Acha mipasho, tujiandae na strategy ya kupunguza magoli.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Strategy hiyo ilifanya kazi mkafungwa goli 2 na moja refa akalimeza mlipocheza na Simba. Na mlipunguza goli zilikuwa ziwe 5.Endeleeni na kombe la losers la kuishia hapo hapo.
Wanaochukua Champions league wanashiriki kombe la dunia la vilabu. LOSERS CUP ni ya malosers tu.
 
Pole sana mkuu ....
 
Wydadi wanawasubiri
 
Naona ukiisikia Simba tu, unapata kichefuchefu!
Nimefuatilia nyuzi zako hapa JF, kuanzia hii kurudi nyuma, zinafika 37, unaiongeleaSimba tu, tena mfululizo!
Inaonyesha huko uliko, kuna ile BUKU SABA kama kule kwa MATAGA, kiasi kwamba, kila "ukiinanga" unakunja kitu!
 
Ni tatizo la afya ya akili kwakweli...
Simba imemkaa mdomoni kuliko mate yake mwenyewe
 
Hapana mkuu .....sinaga timu hapa bongo....Kila timu ikizingua tunaichana makavu
 
Na kweli ni tatizo hasa la kiakili au kimwili.Nadhani ni mimba changa na inamtuma kwa Simba.Jamaa yupo obsessed kuliko kawaida.
Mkuu ivi makolo waliowasha moto uwanjani .....kule south wanaakili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…