Morocco yafungiwa kushiriki AFCON 2017, 2019

Morocco yafungiwa kushiriki AFCON 2017, 2019

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
73,773
Reaction score
102,126
Kutokana na kujitoa mwishoni kuandaa mashindano ya AFCON 2015, shirikisho la soka barani Afrika limeifungia nchi ya Morocco kushiriki mashindano ya AFCON kwa vipindi viwili mfululizo kwa mwaka 2017 na 2019.

Pamoja na adhabu hiyo pia chama cha mpira cha Morocco kitatakiwa kulipa faini ya dola za kimarekani milioni moja ($ 1Mil) na baadaye faini hiyo huenda ikaongezeka kwa kiasi kingine cha Euro milioni nane.
 
Sawa sawa, waende wakacheze mashindano ya nchi za kiarabu.
 
Walikua na hoja ya msingi ila sisi kutokana na uafrika wetu tukajilipua. Sijui ingekuaje km janga lingelipuka na mashabiki wasio na akili kama wale naona watu wangekua wanaambukizwa kwa nguvu kule
 
Walikua na hoja ya msingi ila sisi kutokana na uafrika wetu tukajilipua. Sijui ingekuaje km janga lingelipuka na mashabiki wasio na akili kama wale naona watu wangekua wanaambukizwa kwa nguvu kule

Hoja yao ilikuwa ya msingi haswa...
 
Walikua na hoja ya msingi ila sisi kutokana na uafrika wetu tukajilipua. Sijui ingekuaje km janga lingelipuka na mashabiki wasio na akili kama wale naona watu wangekua wanaambukizwa kwa nguvu kule

Acha ujinga wewe..kama walikuwa na msimamo na hofu kuhusu ebola mbona hawakujitoa kuandaa club world cup? Pia una habari kwamba katika nchi zote 54 za barani africa ni Morocco tu ambaye si mwanachama wa AU? These guys are problematic
 
morocco ni non-au sioni tatizo wao kuyatosa mashindano

Kuwa nje ya AU haimaanishi kuwa wapo nje ya CAF...

Waliaminiwa kuwa wataandaa mashindano lakini wakaingiwa woga...

Sasa adhabu itawahusu...
 
Acha ujinga wewe..kama walikuwa na msimamo na hofu kuhusu ebola mbona hawakujitoa kuandaa club world cup? Pia una habari kwamba katika nchi zote 54 za barani africa ni Morocco tu ambaye si mwanachama wa AU? These guys are problematic

Morocco walihofia maambukizi ya ugonjwa hatari sasa wewe unayeona hiyo sio hoja ya msingi basi wewe ni punguani zaidi!...achana na uarabu wao achana na uanachama wao wa AU tazama hofu yao a tahadhari ya kuambukizana ugonjwa hatari katika mkusanyiko mkubwa kama ule tena mkusanyiko wenye watu waliotoka kwenye nchi zilizoathirika!.. huoni hoja hapo? nenda hospitali ukapime ubongo wako!
 
Back
Top Bottom