Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kutokana na kujitoa mwishoni kuandaa mashindano ya AFCON 2015, shirikisho la soka barani Afrika limeifungia nchi ya Morocco kushiriki mashindano ya AFCON kwa vipindi viwili mfululizo kwa mwaka 2017 na 2019.
Pamoja na adhabu hiyo pia chama cha mpira cha Morocco kitatakiwa kulipa faini ya dola za kimarekani milioni moja ($ 1Mil) na baadaye faini hiyo huenda ikaongezeka kwa kiasi kingine cha Euro milioni nane.