moroco hawana shida mashindano yenyewe siku hizi yamekuwa ya bonanza
Ni nchi iliyopo wapi?
wewe wasema
..
wewe wasema
..
Walikua na hoja ya msingi ila sisi kutokana na uafrika wetu tukajilipua. Sijui ingekuaje km janga lingelipuka na mashabiki wasio na akili kama wale naona watu wangekua wanaambukizwa kwa nguvu kule

Acha ujinga wewe..kama walikuwa na msimamo na hofu kuhusu ebola mbona hawakujitoa kuandaa club world cup? Pia una habari kwamba katika nchi zote 54 za barani africa ni Morocco tu ambaye si mwanachama wa AU? These guys are problematic
Wanajiona wapo Europe wale awana habari na kitu kiitwacho Africa