Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kuipa Tanga kuwa Jiji na Morogoro kubaki Manispaa ni Uzuzu.Morogoro is a sleeping giant,
Such a town to sleep at 10:40 is an absurd yet you want to be awarded city status! Noooo big nooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuipa Tanga kuwa Jiji na Morogoro kubaki Manispaa ni Uzuzu.Morogoro is a sleeping giant,
Such a town to sleep at 10:40 is an absurd yet you want to be awarded city status! Noooo big nooo
Ndio . mambo ni yaleyale mfano mtaa wa mafisa ,mji mpya ni kama barabara za namba tu
....... but KIGOMA kwa Tanzania yetu hii; is a sleeping GIANT-EST (sasa hizi lugha za wageni sisi wengine hatuzielewi vizuri, mtatusamehe). Believe me. Ngoja KIGOMA iwe FULLY connected kwanza kwenye road network ya nchi halafu muone Kigoma itakavyokuja kuwa in just a few years to come. Halafu Waha wana discipline ya hali ya juu hata huwezi ukaona makundi ya watoto usiku wenye tabia chafu mjini, labda kwa sasa, sijui.Morogoro is a sleeping giant,
Such a town to sleep at 10:40 is an absurd yet you want to be awarded city status! Noooo big nooo
Usiombe kule ndio wamemwagwaHivi hizi fununu za kuwa Moro kuna vibaka wengi hasa wa simu kwa kutumia boda ni kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekosa dem wa kumalizana nae usiku kutokana na udomozege wako unaanza kulalamika,upo Morogoro ipi weyee chadomo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaahMji mdogo sana ukitoka mjini ,msavu Kihonda tayari mji ushaisha
Morogoro imepooza sana ukitoa samaki samaki, star park ,vybee Kihonda sijui mnabakiwa na nini
Vyuo vikifungwa mji una pooza mno pamoja na kuwa na vyanzo vya maji vingi bado mji una shida ya maji
Waluguru washamba sana kila siku mtadanganywa na mbunge wenu yule singa mkipewa gari la misiba basi mnaona mmesaidiwa kweli
Wazawa hawataki kazi sanasana udalali na day work ya bodaboda yani unaomba trip kazaa na wewe upate elfu mbili
Kule wezi wengi hasa mafiga ,Sua vibanda ni kipindi kile walikuwa wanatupiga kabali wanachuo ..plus wala unga wengi mitaa ya Manzese .. halafu Morogoro single mother wengi wanawake wa Morogoro ni kama kuku wa kienyeji ujanja wako tu hata kama ameolewa
Maduka yanawahi kufungwa na yanachelewa kufunguliwa tena hasa mjini hivi kweli mko serious na kazi ?
Omba omba usiombe ...mara Oya dogo nitoe buku basi ..mara nitoe elfu mia tano ..
Mkoa wa hovyo sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
morogoro haina kitu cha kuingiza pesa kubwa na za haraka, wanategemea kilimo tu. machimbo ya lubi huko malinyi ni madogo na hawaleti hela morogoro. ila inaweza kuja kukua kwa kasi sana sgr ikianza kufanya kazi vizuri kwasababu kuna watu watakuwa wanaishi morogoro wakifanya kazi dsm. pia itakuwa centre/njia pande fulani ya mikoani. ila kiujumla huwezi kulinganisha au ukaitegemea kama mikoa ile yenye machimbo ya madini ambako pesa zipo na miji inakua kwa kasi sana. hiyo morogoro nimeanza kuisikia tangu nazaliwa kwenye radio Tanzania dsm hadi leo ipo vilevile na tajiri wao ni yule yule abood tu.Morogoro is a sleeping giant,
Such a town to sleep at 10:40 is an absurd yet you want to be awarded city status! Noooo big nooo