GE2025 Morogoro: Askari na Majeshi mbalimbali wafanya mazoezi barabarani. Huu muendelezo unaashiria nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu naona hizi taarifa zimekuwa nyingi sana haswa kipindi hiki. Je ni mkakati wa kuwatisha wananchi? ama lengo la kinachotafutwa ni nini haswa?

Pia soma
===
Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi.

Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi hayo, Askari ambao wameshiriki zoezi hilo wameshuhudiwa wakipita maeneo mbalimbali Mjini Morogoro.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama amesema zoezi la kuimarisha afya kwa majeshi hayo ni endelevu na kwamba linajimuisha nyimbo za kizalendo zenye kuleta mshikamano wa pamoja, hivyo wananchi hawapaswi kuwa na hofu.

Naye Captain Yona Mtaita amesema mazoezi yanawaimarisha kufikia lengo

Source: Clouds TV
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Hayo sio mazoezi ya kuzuia maandamano hivyo ni vitisho vya kuonyesha presence only.

Mazoezi ya kupambana na maandamano ungeona watu wamevaa appropriate gear na vifaa vya kujikinga na fujo.

Hiyo ni doria tu, if anything hawa watu hawajajipanga kuzuia maandamano.

Utazuia maandamano kwa kupita mtaani, it only works in Tanzania.
 
Wakuu naona hizi taarifa zimekuwa nyingi sana haswa kipindi hiki. Je ni mkakati wa kuwatisha wananchi? ama lengo la kinachotafutwa ni nini haswa?

Pia soma
===
Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi.

Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi hayo, Askari ambao wameshiriki zoezi hilo wameshuhudiwa wakipita maeneo mbalimbali Mjini Morogoro.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama amesema zoezi la kuimarisha afya kwa majeshi hayo ni endelevu na kwamba linajimuisha nyimbo za kizalendo zenye kuleta mshikamano wa pamoja, hivyo wananchi hawapaswi kuwa na hofu.

Naye Captain Yona Mtaita amesema mazoezi yanawaimarisha kufikia lengo
View attachment 3487398
Source: Clouds TV
Hatuogopi ***** zenu
 
Back
Top Bottom