The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Kaya kumi na nane za eneo la Kisaki Kijiji cha Mbuyuni Minepa, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao vyakula pamoja na vitandea kazi kudaiwa kuchomwa moto na askari wa Hifadhi ya Jamii ya Iluma (WMA) kwa madai ya kuvamia eneo la hifadhi