The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Hifadji ya jamii inaichoma jamii?kuchomwa moto na askari wa Hifadhi ya Jamii ya Iluma (WMA) kwa madai ya kuvamia eneo la hifadhi
mbona watu wanazuiwa kuishi eneo husika na wanapewa mda wa kuhama hawatii mamlaka wao mnawachukuliaje!???Tuseme mara ngapi ndo muelewe kazi ya upolice ni laana?
Kaya kumi na nane za eneo la Kisaki Kijiji cha Mbuyuni Minepa, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao vyakula pamoja na vitandea kazi kudaiwa kuchomwa moto na askari wa Hifadhi ya Jamii ya Iluma (WMA) kwa madai ya kuvamia eneo la hifadhi
View attachment 3194030
Wahame waende wapi kwenye nchi yao? Mbona waarabu mmewaleta huko hifdhini?mbona watu wanazuiwa kuishi eneo husika na wanapewa mda wa kuhama hawatii mamlaka wao mnawachukuliaje!???