Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Kosa la marehemu lilianzia hapa,"Katibu huyo wa kitongoji amesema kuwa baada ya kupokea madai hayo mke wa Tungaraza aliitwa katika ofisi hizo na viongozi akiwemo yeye katibu na baada ya kuelezwa kile anachotuhumiwa mwanamke huyo alimuomba radhi mume wake (Tungaraza) na kumuahidi kujirekebisha hasa kitabia na hivyo wanandoa hao waliondoka na kwenda kuendelea na maisha kama kawaida".Alijua mkewe ana mahusiano na bodaboda akajifanya anaweza kusamehe na ku moveon...
 
Ushangae alikua anataka waachane jamaa ana ng’ang’ania
Kitu nimejifunza katika maisha usiruke hatua,kama uko shule watafune Sana wanawake ili uwashushe daraja wasijekusumbua mbeleni,in fact malovee yana nguvu Sana ila ukiwa mgeni kwenye game inaongeza shida zaidi ukiwa mzoefu unapiga chini na kuendelea na plan B,mwanamke hatakiwi kupendwa zaidi ya kupigwa na dudu na usiache akujue kuwa bila yeye huwezi ishi.
 
Upo sahihi kabisa Mkuu,na hili kosa hua linafanywa na watu wengi tu,
Wa hivyo hua hawabadiliki,ndio maana hua nasema humu,Msaliti hatakiwi kusamehewa wala kuhurumiwa hata siku moja.
 
Hii comment ina ukweli sana, ktk watu wote hasa kwenye mapenzi
 
Inawezekana kabisa,na pia kuna mtu nje ya huyo mke ndiye aliyepanga huo mpango wote,
Hapo hata huyo Bodaboda atafutwe na kukamatwa kisha ahojiwe.
Ameshakamatwa polisi wanaendelea na uchunguzi, nimewaza pia kweli inawezekana huenda kuna jambo lingine huyo mwl alikuwa akilihofia mpaka kujua kuwa kifo chake kipo karibu.
 
kama Faana na Myangu hawata comment basi jamaa atakuwa mmoja wao kwasababu hawa members wanaishi moro.

Tukataeni ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…