Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Sasa hapo sababu kuu ipi hapo wakati usha ambiwa mwanamke kachonga mchongo ionekane wamevamiwa na mumewe kauawa ili msiba ukiisha aendelee ku enjoy na huyo boda wake kwa uhuru sasa na bodae boda angehamia kabisa waishi kindoa
Ingekua na Polisi wanachukulia mambo kirahisi kama ulivyochukulia wewe,Basi kusingekua hata na uchunguzi,
Mtu anaweza kuonekana kua ameua na kila mtu kaona kua ameua ila lazima kuwe na uchunguzi coz hua kuna mambo mengi behind na pia kuna wahusika wengine japo itakua ndio walichora ramani ya mauaji hayo.
 
Wanaume muache kung'ang'ania mahusiano. Sawa mke ni mrembo ila ndo hakutaki tena kamuelewa bodaboda!
Wanaume muache kung'ang'ania mahusiano. Sawa mke ni mrembo ila ndo hakutaki tena kamuelewa bodaboda!
Wakati mwingine ni bora kuomba yasikukute kuliko kuwalaumu wenzako. Mapemzi nikama ajali, wakati wewe unaendesha kwa umakini unasababishiwa ajali. Ukisema siwezi ua mtu kwa ajili ya mapenzi unauliwa kwasababu za kimapenzi.
 
Back
Top Bottom