Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Aisee. Mwanamke ukiona tu humuelewi elewi alooo achana nae mara moja..usije ukajipa moyo kuwa atabadilika. Achana nae mara moja..

Pia mshkaji kama alishamjua mpaka mgoni wake, kwann alimuacha hiv hiv, ilibid amkodie watu wamle tako iwe fundisho.
 
kaka wawatu maskini,,ivi hua hawatosheki kwa waume zao au ni vipi!?

Hao ndo wale malaya wameolewa ili kuficha aibu ya familia.
Sio tu kuficha aibu ya familia...anakuwa ni malaya, nyumbani hakuna hata pesa ya kula, anaamua kuolewa ili angalau apate sehemu ya kula na kulala (sio kama anaolewa na mtu anaempenda). Akishaolewa, ndio sasa anaanza kutafuta Mapenzi ya mtu anaempenda. Maana sasa si ana sehemu ya kula, na kulala? Mwili umetulia sasa...na Nyege zinakuja vizuri..anashiba na kulala vizuri.
 
We una uhakika alikua malaya!?
Je kila anayechepuka basi alikua malaya!?
Futi hii kauli ya kitoto na kiduwanzi mkuu,hao viumbe ni wa kubadilika wakati wowote kiasi ukasema humjui kama ulivyokua wamjua zamani.
Mkuu huyo ni malaya tu...Ukiona mtu anachepuka....ujue huyo ana vinasaba vya kimalaya...na hato-acha. Either umuache...au mtakuja kuuana siku moja.
 
Kitendo cha kumsamehe na kuishi na mwanamke aliyekusaliti.
Ni ishara ya mwanaume dhaifu, na hakuna siku mke atakuja kukuheshimu.

Utasikia oooh watoto watapata shida nikiachana na mama yao/baba yao.
sasa hivi ndio wanaishai kwa raha mstarehe!?
 
Inasikitisha Sana,ukiona viashira vyovyote vya mwanaume ameanza kutoka nje ya ndoa,Bora kumuacha aende tu,uanze maisha mapya yenyewe amani na furaha,rest in peace teacher
 
Lakini wanaume tujitahidi kuwakaza hawa viumbe vizuri ili kuwaridhisha, Unakuta Mwanamme unapiga Show mbovu unategemea asichepuke? Wachomekeeni vizuri halafu uone kama atakusumbua... Kama huna nguvu za kiume jitahidi ukaongeze😂😂 na kwa wenye vibamia fanyeni mazoezi ya kurefusha mashine. Tuwatieni vizuri hawa Ndugu zetu
Mqanamke hatA umkaze na usimamie ukucha akiamua ameamua...


Ova
 
Kuna kifungu cha kuongeza kwenye sheria za ndoa, """"IWE NI HAKI KWA WANANDOA KUTENGANA ENDAPO MMOJA WA WANANDOA HAO ATAIDAI HAKI HIYO""" NO WHAT OR WHAT, KUULAZIMISHA MUUNGANO KWA SHERIA ZA KIDINI NDICHO CHANZO CHA MAAFA MENGI, NA NDICHO CHANZO CHA WANAUME KUONEKANA WANAKUFA MAPEMA ZAIDI.
 
Lakini wanaume tujitahidi kuwakaza hawa viumbe vizuri ili kuwaridhisha, Unakuta Mwanamme unapiga Show mbovu unategemea asichepuke? Wachomekeeni vizuri halafu uone kama atakusumbua... Kama huna nguvu za kiume jitahidi ukaongeze😂😂 na kwa wenye vibamia fanyeni mazoezi ya kurefusha mashine. Tuwatieni vizuri hawa Ndugu zetu
Mkuu hawa wanawake tunashindwa kuwaelewa tuwaweke fungu gani unaweza ukapiga machine lakn bado akachepuka binafsi naona kupiga machine sio kigezo
 
Back
Top Bottom