Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Aisee. Mwanamke ukiona tu humuelewi elewi alooo achana nae mara moja..usije ukajipa moyo kuwa atabadilika. Achana nae mara moja..

Pia mshkaji kama alishamjua mpaka mgoni wake, kwann alimuacha hiv hiv, ilibid amkodie watu wamle tako iwe fundisho.
Kula tako ni kawaida? Mbona mashoga wanaoliwa tako kwa ridhaa yao hamuwataki na mnasema ni laana?

Hivi akili zenu huwa zipo sawaa?
 
Sio tu kuficha aibu ya familia...anakuwa ni malaya, nyumbani hakuna hata pesa ya kula, anaamua kuolewa ili angalau apate sehemu ya kula na kulala (sio kama anaolewa na mtu anaempenda). Akishaolewa, ndio sasa anaanza kutafuta Mapenzi ya mtu anaempenda. Maana sasa si ana sehemu ya kula, na kulala? Mwili umetulia sasa...na Nyege zinakuja vizuri..anashiba na kulala vizuri.
ni kweli ila kuna mda wazazi hua wanalalamika kumwambia mtoto wao,, sasa nawewe si uolewe ona fulani na fulani kaolewa,mimi mama ako nilipofikisha miaka kama yako nilikua ndani ya ndoa,,basi binti anaona sio kesi nitakua naenda kwa kina masanja wangu kimya kimya.
 
We una uhakika alikua malaya!?
Je kila anayechepuka basi alikua malaya!?
Futi hii kauli ya kitoto na kiduwanzi mkuu,hao viumbe ni wa kubadilika wakati wowote kiasi ukasema humjui kama ulivyokua wamjua zamani.
Malaya ni nani? Ukishatembea na mwanaume mwingine na una mume unakuwa Malaya tu, hakuna cheo kingins kitakachokufaa zaidi ya umalaya.
 
Mwanamke akishachepuka achana naye. Yaani ni udhaifu mkubwa mwanaume kwenda kushitaki kuomba watu wamseme mkeo na unakubali kurudiana naye.

Otherwise KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI
Tunaambiwa Mwamba alienda kwa Kiongozi wa Kiroho kumsimulia madhila ya bibie, chaajabu Kiongozi akasema amvumilie atabadilika. Siunajua dini zingine mkishaoana mpaka mmoja afe😁😁😁. Hiyo biashara nikama kujitia kitanzi mwenyewe siwezi fanya🚮
 
Kosa la marehemu lilianzia hapa,"Katibu huyo wa kitongoji amesema kuwa baada ya kupokea madai hayo mke wa Tungaraza aliitwa katika ofisi hizo na viongozi akiwemo yeye katibu na baada ya kuelezwa kile anachotuhumiwa mwanamke huyo alimuomba radhi mume wake (Tungaraza) na kumuahidi kujirekebisha hasa kitabia na hivyo wanandoa hao waliondoka na kwenda kuendelea na maisha kama kawaida".Alijua mkewe ana mahusiano na bodaboda akajifanya anaweza kusamehe na ku moveon...
Useng sana kumsamehe mwanamke msaliti. Mimi mke wangu akinisaliti navunja ndoa hapo hapo.
Ni udhaifu mkubwa sana kumsamehe mwanamke mchepukaji.
 
Back
Top Bottom