Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Alikuwa NICE GUY kwake yeye ni mkewe tu.

Mwanamke akishachange kachange, huwa hasikii, haoni, haambiliki na hana hata chembe ya huruma. Ikishafikia hatua hiyo usalama wako ni kuachana nae tu ila ukisema unakomaa nae umbadilishe jua fika umekwisha.
 
Haya mauaji yatakua na sababu nyingine tu ambayo ndio sababu kuu,ngoja tuone huo uchunguzi wa Polisi utakuja na majibu gani.
Sasa hapo sababu kuu ipi hapo wakati usha ambiwa mwanamke kachonga mchongo ionekane wamevamiwa na mumewe kauawa ili msiba ukiisha aendelee ku enjoy na huyo boda wake kwa uhuru sasa na bodae boda angehamia kabisa waishi kindoa
 
Naishi karibu na sehemu hilo Tukio lilipotokea lkn kwa maumivu nilioyapata baada ya kusikia sikujaribu kusogea pale mpaka jamaa anasafirishwa kwenda huko kwao Ukerewe. Tunaoishi maenea haya tuliumia sana.
 
Ila boda boda wana hatarii, sijui hata pikpik zimewekwa nn.
Kijanaa akianza kuwa boda, hata km alikua zoba atachachuka na, kua malaya. Lol

Ko alitaka ale mirathi ya Mwl mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wengine ni washenzi wa kutembea na wake za watu. Huyo bodaboda hakuona wanawake wengine mpaka akatembee na mke wa mtu? Wanaume wanaotembea na wake za watu ni wa kushughulikiwa kwa mbinu zote ikiwemo kulogwa mashine ishindwe kusimama, kukojoa uzi mrefu na kukojoa petroli. Tumechoka ushenzi huo
 
Ila boda boda wana hatarii, sijui hata pikpik zimewekwa nn.
Kijanaa akianza kuwa boda, hata km alikua zoba atachachuka na, kua malaya. Lol

Ko alitaka ale mirathi ya Mwl mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute alikuwa anapewa lift kisha bibie akampea kumshukuru akanogewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…