Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mwanafunzi wa darasa la 7 Shule ya Msingi Mwenge, Manispaa ya Morogoro, Faidhati Ibrahim (13) ameuawa kwa kukatwa na mapanga na kaka yake ambaye ni binamu anayetambulika kwa jina la Shomari Malima akiwa katika nyumbani kwao mtaa wa Tambukareli Kata ya Kingolwila. Sababu ya mauaji hayo imetajwa kuwa ni ugomvi kati ya mama wa marehemu na mama wa mtuhumiwa.
Picha: Faidhati Ibrahim enzi za uhai wake
Picha: Faidhati Ibrahim enzi za uhai wake