Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Kabla ya kuileta huku hii taarifa ulitakiwa uwe na habari kamili maana hata chanzo cha mauaji hujakiweka wazi, yalitokea lini?Mwanafunzi wa darasa la 7 Shule ya Msingi Mwenge, Manispaa ya Morogoro, Faidhati Ibrahim (13) ameuawa kwa kukatwa na mapanga na kaka yake ambaye ni binamu anayetambulika kwa jina la Shomari Malima akiwa katika nyumbani kwao mtaa wa Tambukareli Kata ya Kingolwila.
Mwenye mamlaka ya kusemea hilo ni jeshi la polisi, hivyo wakitolea ufafanuzi nami nitaongezea nyama. Kwa sasa fahamu tu kuwa kuna mwanafunzi kauawa na Binamu Nyama ya Hamu..Kabla ya kuileta huku hii taarifa ulitakiwa uwe na habari kamili maana hata chanzo cha mauaji hujakiweka wazi, yalitokea lini?