Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani.
Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa kama mimi niko CHAUMA wewe kiongozi wa CCM inakuhusu nini? Je hakuna utaratibu wa kufahamiana kupitia matawi na mashina yenu? Mnarekodi watu wa vyama vingine ili mfanye nini?
Rais Samia nikweli umewatuma au wanakuchonganisha na raia? Mimi nimemtimua na fyekeo (kwanja) na nimemwambia asithubutu kukatisha kwenye viunga vya nyumba yangu.
NB:
Maadui wa taifa hili ni
1. CCM
2. CCM
3. CCM