figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Umeuliza swali la Msingi. Hata mimi sijui.. Mambo ya barabarani fasta fasta.. Ngoja nifuatiliie ili niongezee nyamaLilikuwa likitoka wapi na kwenda wapi?
Msiwe mnakimbilia kutoa habari za ajali ambazo hazijakamilika.Umeuliza swali la Msingi. Hata mimi sijui.. Mambo ya barabarani fasta fasta.. Ngoja nifuatiliie ili niongezee nyama
Lilikuwa likitoka wapi na kwenda wapi?
.Lilikua linatoka wapi kwenda wapi?
Si jukumu langu kutoa habari.. Hii ni taarifa.. Usiwe unaandika ujinga. Tangu lini umeanza kunipangia cha kuandika?Msiwe mnakimbilia kutoa habari za ajali ambazo hazijakamilika.
Mrushie mawe hakuelewiSi jukumu langu kutoa habari.. Hii ni taarifa.. Usiwe unaandika ujinga. Tangu lini umeanza kunipangia cha kuandika?
Hahahaa🤣🤣Mrushie mawe hakuelewi
Ni jukumu lako kutoa taarifa tena kama ya mtu anayekimbizwa??Si jukumu langu kutoa habari.. Hii ni taarifa.. Usiwe unaandika ujinga. Tangu lini umeanza kunipangia cha kuandika?
Unanilipa?Ni jukumu lako kutoa taarifa tena kama ya mtu anayekimbizwa??
Hahahahaaa.. Hata wawe bondeni matani lazima yawepoUmewaonea tu waluguru, wenyewe wako Milimani huko wanakula magimbi na ndizi bila pressure za barabara.