Pre GE2025 Morogoro: CCM Mzumbe kufanya matembezi na dua kuwaombea Rais Samia na Rais Mwinyi kwaajili ya Uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kasongo yeeyee

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2024
Posts
308
Reaction score
654
IMG-20250126-WA0005.jpg

Jamani CCM ifike pahala muwe na huruma na nchi hii hata kama mna mpango wa kutawala milele. Itafika kipindi jamii ya nchi hii iwe kama jamii ya mazombi, maana hawa mazezeta mnaowaandaa ndio mtakuja kuwaachia nchi, na kipindi hicho jamii nzima itakuwa ya namna hiyo.

Wakati gen z wa Kenya wakizidi kujitambua hadi rais wao si tu anawaheshimu bali anawaogopa kabisa, kwa upande wa Tz gen z ndio kwanza wanazidi kuwa mazezeta wakitopea kwenye uchawa uliovuka mipaka.

Hebu fikiria, vyeti vya kushiriki matembezi na maombi vitawasaidia nini vijana wetu?

Sasa hao ni wale wa kujiita wasomi, je wale walioikosa hata hiyo elimu yetu ya 'hovyohovyo' hali itakuwaje? Huko mbeleni itafika kipindi watu watakuwa tayari hata kuramba makalio ya wengine ili wapate kupewa vyeti!

Kwa akili hizi akina Trump wafute tu misaada kwa 100%
 
View attachment 3215103

Ndio maana graduates wa hiki kitaasisi wakiomba kazi Udsm wanachomolewa kwa sababu ya mambo yao ya kikuda.
 
Nchi hii inaangamia kwa ujuha wa wananchi, kujitoa akili ili mambo yaende, uchawa n.k
 
Back
Top Bottom