Pre GE2025 Morogoro: CCM Mzumbe kufanya matembezi na dua kuwaombea Rais Samia na Rais Mwinyi kwaajili ya Uchaguzi 2025

Pre GE2025 Morogoro: CCM Mzumbe kufanya matembezi na dua kuwaombea Rais Samia na Rais Mwinyi kwaajili ya Uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3215103
Jamani CCM ifike pahala muwe na huruma na nchi hii hata kama mna mpango wa kutawala milele. Itafika kipindi jamii ya nchi hii iwe kama jamii ya mazombi, maana hawa mazezeta mnaowaandaa ndio mtakuja kuwaachia nchi, na kipindi hicho jamii nzima itakuwa ya namna hiyo.

Wakati gen z wa Kenya wakizidi kujitambua hadi rais wao si tu anawaheshimu bali anawaogopa kabisa, kwa upande wa Tz gen z ndio kwanza wanazidi kuwa mazezeta wakitopea kwenye uchawa uliovuka mipaka.

Hebu fikiria, vyeti vya kushiriki matembezi na maombi vitawasaidia nini vijana wetu?

Sasa hao ni wale wa kujiita wasomi, je wale walioikosa hata hiyo elimu yetu ya 'hovyohovyo' hali itakuwaje? Huko mbeleni itafika kipindi watu watakuwa tayari hata kuramba makalio ya wengine ili wapate kupewa vyeti!

Kwa akili hizi akina Trump wafute tu misaada kwa 100%
Jobless watarajiwa katika ubora wao.
 
Attachments

  • 5938169-3f8437b06df44d0a7c8b8e175f481762.mp4
    23 MB
Ndio maana graduates wa hiki kitaasisi wakiomba kazi Udsm wanachomolewa kwa sababu ya mambo yao ya kikuda.
Hii ishu wala si ya Mzumbe pekee, kila chuo kwa sasa upuuzi wa ajabu ajabu unaendelea. Si unasikia vyuo vikuu kwa umoja wamechanga fedha kwaajili ya fomu mbili, yaani ya bimkubwa na ya Chusse boy kule zenji!

Gen z wa nchi hii ni product mbovu ya malezi mabovu kutoka kwa wazazi/walezi wabovu, ndani ya jamii mbovu, yenye uongozi mbovu chini ya chama kibovu.
 
Yani ujinga mtupu yakitoka hapo yanalia hakuna ajira nani ataajiri mpuuzi wa namna hii?
 
Yani ujinga mtupu yakitoka hapo yanalia hakuna ajira nani ataajiri mpuuzi wa namna hii?
Siku hizi naona wameamua kuajiri hawa machawa moja kwa moja bila hata usaili wala kuzingatia vigezo.

Kuna watendaji wa kata na vijijin kibao wanasambazwa vijijini na mijini kwa hizo ajira za kimyakimya. Magufuli alianzisha huo utaratibu, naona dada yake sasa kaja na speed sana. Yaani sasa ni kawaida kusikia mtu aliyesoma education, health systems management, hotel management ni mtendaji kata/kijiji!

Nadhani vijana wanapambania hivyo vijinafasi
 
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyae mwanadamu Kinga yake huku moyoni mwake amemwacha Mungu" Yeremia 17:5

Hao wanaoenda kufanya "maombi" kwa Mungu wasisahau Hilo andiko.
 
Back
Top Bottom