Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo.
Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha vimewekwa kwenye kambi za Jeshi (JKT) kitu ambacho kinavunja taratibu na kanuni za uchaguzi.
Soma pia: Arusha: CHADEMA yatangaza Maandamano kupinga Ukiukwaji wa Taratibu za Uandikishaji
"Kuna tukio ambalo tumelibaini, vituo vya uandikishaji kuwekwa kwenye kambi za ulinzi na usalama na hii imetokea kule Mlimba Morogoro kambi ya JKT ya Chita pamewekwa vituo viwili ndani ya kambi hiyo na wanaandikisha vijana waliopo kwenye kambi hiyo ya JKT, kinyume kabisa na kanuni ambazo zimepiga marufuku maeneo ya ulinzi na usalama kuwa sehemu ya kambi za vituo vya uandikishaji vya kupiga kura"