Tafadhali okoa Jahazi. Nimehamia Morogoro hivi karibuni na nimekuwa nikipata kigugumizi kujua hospitali nzuri kwa ajili ya watoto wadogo (ama daktari mzuri wa mtoto).
Wakati mwingine shida inakuwa siyo pesa ila huduma ya kuridhisha, kwa hiyo kama unaijua hospitali inayofanya vizuri kwa watoto tafadhali saidia.