Morogoro: Daktari/Hospitali nzuri ya watoto ni ipi?

Morogoro: Daktari/Hospitali nzuri ya watoto ni ipi?

Natania

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
262
Reaction score
217
Tafadhali okoa Jahazi. Nimehamia Morogoro hivi karibuni na nimekuwa nikipata kigugumizi kujua hospitali nzuri kwa ajili ya watoto wadogo (ama daktari mzuri wa mtoto).

Wakati mwingine shida inakuwa siyo pesa ila huduma ya kuridhisha, kwa hiyo kama unaijua hospitali inayofanya vizuri kwa watoto tafadhali saidia.
 
Back
Top Bottom