Ngoja waje chadema pro wajipe Moyo wakati kiuhalisia kuna kitu hakipo sawa chamani
View: https://x.com/i/status/1922899463774822815
Ha haa haa! Waache waondoke kwani wapo maelfu ya wazalendo wanapiga hodi, wakidai chama chao watakachokiendesha wenyewe bila kutegema makombo kutoka meza kuu ya wezi. TONE TONE hiyoo!