M Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,603 Reaction score 23,991 May 15, 2025 #21 Mbaga Jr said: Ngoja waje chadema pro wajipe Moyo wakati kiuhalisia kuna kitu hakipo sawa chamani Click to expand... View: https://x.com/i/status/1922899463774822815 Ha haa haa! Waache waondoke kwani wapo maelfu ya wazalendo wanapiga hodi, wakidai chama chao watakachokiendesha wenyewe bila kutegema makombo kutoka meza kuu ya wezi. TONE TONE hiyoo!
Mbaga Jr said: Ngoja waje chadema pro wajipe Moyo wakati kiuhalisia kuna kitu hakipo sawa chamani Click to expand... View: https://x.com/i/status/1922899463774822815 Ha haa haa! Waache waondoke kwani wapo maelfu ya wazalendo wanapiga hodi, wakidai chama chao watakachokiendesha wenyewe bila kutegema makombo kutoka meza kuu ya wezi. TONE TONE hiyoo!