Plot4Sale Morogoro eneo la heka 7 linauzwa kila heka 1 ni million 2

Plot4Sale Morogoro eneo la heka 7 linauzwa kila heka 1 ni million 2

Eneo la heka 7 linauzwa ni sehemu nzuri kwa uwekezaji lipo maeneo ya Lugono Nyama choma karibu na Chuo cha Mzumbe
Oya nahitaji heka zote 7 kwa bei ya 1.6m.
Umbali gani toka main road ya moro iringa?
 
Oya nahitaji heka zote 7 kwa bei ya 1.6m.
Umbali gani toka main road ya moro iringa?
Ni kilometa 1 mkuu, dah mkuu hiyo bei unauwa mkuu. Pale saivi pamechangamka sana ni shida tu inafanya niuze.
 
nataka nikuletee mteja ndugu BS ila sijui uaminifu wako ukoje maana madalali tunapigwa sana
Usiwaze kabisa kuhusu hilo mkuu pia unaweza kumwambie kila heka 1 ni m2.2 hiyo lakini itakayo zidi kila heka 1 ni yako
 
Back
Top Bottom