Plot4Sale Morogoro eneo la heka 7 linauzwa kila heka 1 ni million 2

Plot4Sale Morogoro eneo la heka 7 linauzwa kila heka 1 ni million 2

Wewe kweli ni mwenyeji hadi Soweto unapapata hahaah
🤣🤣🤣🤣 Hapo sii ndio machinjioni kwa wanafunzi wa mzumbe mzeya🤣🤣🤣
Sasa wee niuziee heka moja mzeja nijenge kiapartment changu niwe nawachinjia warembo wa mzumbe hapo kwangu. Mil2 kwa mfuko chap kwa haraka.
 
Dah ila mzumbe kwa udongo mwekundu😭😭
 
Noma sana ingekuwa Arusha hiyo ningevuta ila Moro mbali sana pambana
Sawa bosi ila unaweza kuwekeza hata kuweka ranch au kuchimba kisima kwajili ya biashara ya kunywesha mifugo ya wafugaji au kuotesha majani

(JUNCAO) ya mifugo ya wafugaji na kupiga hela​

 
Back
Top Bottom