GE2025 Morogoro: Kampeni ya Uchaguzi ya Samia Suluhu kata ya Ngerengere

GE2025 Morogoro: Kampeni ya Uchaguzi ya Samia Suluhu kata ya Ngerengere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Angejikalia tu ikulu maana "ushindi" upo wazi...
 
ASANTENI SANA MOROGORO
IMG-20250829-WA0508.jpg
IMG-20250829-WA0507.jpg
 
Tukiwa hapa Ngerengere kwenye mkutano wa kampeni za CCM
Askof Dr George Pindua wa Kanisa la KKKT ndio aliefanya maombi ya kufungua mkutano.
Na ndiye Askofu aliyealikwa

Lakini kuna Askofu aliyemaliza Muda wake Askofu Mameo nae ameonekana kwenye mkutano na akataka atambuliwe kama askofu wa jimbo na apewe nafasi ya kuongea na watu wa itifaki wakamfahamisha Askofu Mameo Kwamba Askof Pindua yupo na ndie aliyealikwa kufanya kazi hiyo lakin Askofu Mameo akaanza kutoa kauli ya kusema yeye hatakiwi anapendelewa askofu Pindua lakini kimsingi ndio mwenye haki na jimbo hili na amefanya jukumu lake.
 
Hawa vilaza wanagombania kuhutubia mkutano wa ccm? Hili kanisa ni tawi sawa na uvccm.
!! wewe unaweza kumnunia Boss sikia tu kamauulize Mwabukuzi kutoka tu kamnyea nduguyee Pole pole!!!!
 
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwaajili ya kufanya Mkutano wa Kampeni kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.

Ahadi za Mgombea Urais Katika Mkutano wa Kampeni Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro

Unatoa billion kama mikopo kwa akina mama huku Abdul peke yake kanunua gari ya billion 2.5. aiseeee
 
Back
Top Bottom