Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hivi karibuni imeelezwa kuwa barabara ya Dumila Kilosa imetiwa lami katika kipande cha kilomita 20+ zilizokuwa zimebaki kutoka Rudewa hadi mjini Kilosa, kabla ya kukamiilika kwa barabara hiyo nauli ya Dumila Kilosa Km 65 ilikuwa ni Sh 5000, na sasa bado nauli ni hiyohiyo pamoja na njia kuwa lami tupu.
Hivi ni viwango vya nauli na umbali wake
Hivi ni viwango vya nauli na umbali wake
- Morogoro - Dumila ni Km 68 nauli ni Sh 3000
- Morogoro - Kilosa ni Km 133 nauli ni Sh 6000
- Morogoro - Gairo ni Km 129 nauli ni 6000
- Dumila - Kilosa ni Km 65 nauli ni sh 5000
- Dumila - Gairo ni Km 61 nauli ni Sh 3000
- Dumila - Turiani ni Km 40 nauli ni Sh 5000
- Kilosa - Mikumi ni Km 70 nauli ni Sh 6000 (Barabara ya vumbi)