LGE2024 Morogoro: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.

1727776347178.jpeg

Ramani ya Mkoa wa Morogoro
HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO
Morogoro ni mji uliopo mashariki mwa Tanzania, unaojulikana kwa historia yake ya ukoloni wa Kijerumani, kilimo cha miwa, na umuhimu wake katika elimu kupitia Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA). Mji huu pia una maeneo ya kihistoria kama milima ya Uluguru, na ulijihusisha katika harakati za uhuru wa Tanganyika. Leo, Morogoro ni kitovu cha uchumi na utalii, ikiendelea kukua kwa kasi.

Hali ya Kisiasa
Mkoa wa Morogoro una jumla ya majimbo kumi na moja (11) ambayo yote yana wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mujibu wa uchaguzi mkuu wa 2020.

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA
1727779531440.png

CHANZO CHA TAKWIMU: TAMISEMI
Ufafanuzi wa Takwimu kwa Ufupi
Mkoa wa Morogoro una mgawanyo wa maeneo ya utawala yanayojumuisha mamlaka za miji na wilaya. Katika mamlaka za miji, kuna Manispaa ya Morogoro na Mji wa Ifakara. Manispaa ya Morogoro ina jumla ya kata 29 na mitaa 294, wakati Mji wa Ifakara una kata 19, mitaa 33, vijiji 48, na vitongoji 214. Jumla ya maeneo ya miji katika mkoa huu ni kata 48, mitaa 327, vijiji 48, na vitongoji 214.

Kwa upande wa mamlaka za wilaya, mkoa una wilaya saba: Gairo, Mlimba, Kilosa, Malinyi, Morogoro, Mvomero, na Ulanga. Jumla ya maeneo ya wilaya yana kata 166, vijiji 637, na vitongoji 3,177. Wilaya ya Kilosa peke yake ina miji midogo miwili, yenye kata 40, vijiji 138, na vitongoji 811.

Kwa ujumla, mkoa wa Morogoro una kata 214, mitaa 327, vijiji 685, na vitongoji 3,391, ikijumuisha miji na wilaya zote za mkoa huo.

SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Majimbo ya Uchaguzi - Mkoa wa Morogoro
  1. Jimbo la Morogoro Mjini (Manispaa ya Morogoro)
    • Kata: 29
    • Mitaa: 294
    • Vijiji: 0
    • Vitongoji: 0
  2. Jimbo la Ifakara (Mji wa Ifakara)
    • Kata: 19
    • Mitaa: 33
    • Vijiji: 48
    • Vitongoji: 214
  3. Jimbo la Gairo (Wilaya ya Gairo)
    • Kata: 18
    • Vijiji: 66
    • Vitongoji: 316
  4. Jimbo la Mlimba (Wilaya ya Mlimba)
    • Kata: 16
    • Vijiji: 62
    • Vitongoji: 244
  5. Jimbo la Kilosa (Wilaya ya Kilosa)
    • Kata: 40
    • Miji Midogo: 2
    • Vijiji: 138
    • Vitongoji: 811
  6. Jimbo la Malinyi (Wilaya ya Malinyi)
    • Kata: 10
    • Vijiji: 33
    • Vitongoji: 163
  7. Jimbo la Morogoro Kusini (Wilaya ya Morogoro)
    • Kata: 31
    • Vijiji: 149
    • Vitongoji: 734
  8. Jimbo la Mvomero (Wilaya ya Mvomero)
    • Kata: 30
    • Vijiji: 130
    • Vitongoji: 687
  9. Jimbo la Ulanga (Wilaya ya Ulanga)
    • Kata: 21
    • Vijiji: 59
    • Vitongoji: 222
UPDATES
- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

- LGE2024 - Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe

- LGE2024 - RC Malima: Mume haruhusiwi kumkataza mke kujiandikisha, akibainika atakamatwa

- LGE2024 - TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

- LGE2024 - Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya kuchukua na kurudisha Fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, siku zaongezwa

- LGE2024 - CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi

- LGE2024 - Amos Makalla: Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

- LGE2024 - Morogoro: CHADEMA wafichua uwepo wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kwenye kambi ya Jeshi ya JKT

- LGE2024 - CUF: Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilikuwa na dosari, tunashauri muda uongezwe

- LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Morogoro: Msimamizi wa Uchaguzi Kilosa amjibu Mbowe kuhusu Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa

- LGE 2024 - CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa

- LGE2024 - CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

- LGE2024 - Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

- LGE2024 - Kilombero: Wanachama wa CHADEMA wakamatwa wakidaiwa kufanya vurugu

- LGE2024 Kilombero: Wanachama wa CHADEMA wakamatwa wakidaiwa kufanya vurugu

- LGE2024 - Professor Jay arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi kwa kishindo

- LGE2024 - Prof. Jay awaomba wananchi Kisanga kuichagua CHADEMA ili kuweka msingi mzuri kwaajili ya uchaguzi wa Rais 2025

- LGE2024 Twaha Mwaipaya atikisa Kilombero

- LGE2024 Mjumbe Kamati Kuu CCM Arusha: CHADEMA wana sumu mimi nina maziwa

- LGE2024 Mnyika: Mkipiga kura hakikisheni hamuondoki kwenye vituo

- Kuelekea 2025 Wananchi Morogoro wabubujikwa machozi ya furaha Rais Samia kutunikiwa Udaktari wa Heshima! Ukiwahesabu hao watu ni 2 tu!

- Morogoro: Timu ya Wamasai yatinga 16 Bora Kombe la Pamoja na Mama. Rushwa nyingine ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakipiga kelele!

- LGE2024 - Morogoro: CHADEMA yadai Mwenyekiti wao wa Kanda ya Kati ajeruhiwa wakigombea Uwanja na CCM

- LGE2024 - Amos Makalla: Mawakala wetu watalinda kura ipasavyo

- LGE2024 - Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

- LGE2024 - Morogoro: Mwenyekiti wa mtaa aliyedumu madarakani kwa miaka 30 achaguliwa tena

- LGE2024 - Morogoro: Wananchi Ruaha wapiga kura baada ya zoezi hilo kuahirishwa jana Novemba 27, 2024, wahofia wingi wa polisi

TAARIFA ZA MIKOA MINGINE
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

- LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

IDADI YA WATU WALIOJIANDIKISHA
- LGE2024 - News Alert: - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
- LIVE - LGE2024 - Matokeo ya Jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa
 
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.

View attachment 3112013
Ramani ya Mkoa wa Morogoro
HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO
Morogoro ni mji uliopo mashariki mwa Tanzania, unaojulikana kwa historia yake ya ukoloni wa Kijerumani, kilimo cha miwa, na umuhimu wake katika elimu kupitia Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA). Mji huu pia una maeneo ya kihistoria kama milima ya Uluguru, na ulijihusisha katika harakati za uhuru wa Tanganyika. Leo, Morogoro ni kitovu cha uchumi na utalii, ikiendelea kukua kwa kasi.

Hali ya Kisiasa
Mkoa wa Morogoro una jumla ya majimbo kumi na moja (11) ambayo yote yana wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mujibu wa uchaguzi mkuu wa 2020.

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA
View attachment 3112047
CHANZO CHA TAKWIMU: TAMISEMI
Ufafanuzi wa Takwimu kwa Ufupi
Mkoa wa Morogoro una mgawanyo wa maeneo ya utawala yanayojumuisha mamlaka za miji na wilaya. Katika mamlaka za miji, kuna Manispaa ya Morogoro na Mji wa Ifakara. Manispaa ya Morogoro ina jumla ya kata 29 na mitaa 294, wakati Mji wa Ifakara una kata 19, mitaa 33, vijiji 48, na vitongoji 214. Jumla ya maeneo ya miji katika mkoa huu ni kata 48, mitaa 327, vijiji 48, na vitongoji 214.

Kwa upande wa mamlaka za wilaya, mkoa una wilaya saba: Gairo, Mlimba, Kilosa, Malinyi, Morogoro, Mvomero, na Ulanga. Jumla ya maeneo ya wilaya yana kata 166, vijiji 637, na vitongoji 3,177. Wilaya ya Kilosa peke yake ina miji midogo miwili, yenye kata 40, vijiji 138, na vitongoji 811.

Kwa ujumla, mkoa wa Morogoro una kata 214, mitaa 327, vijiji 685, na vitongoji 3,391, ikijumuisha miji na wilaya zote za mkoa huo.

SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Majimbo ya Uchaguzi - Mkoa wa Morogoro
  1. Jimbo la Morogoro Mjini (Manispaa ya Morogoro)
    • Kata: 29
    • Mitaa: 294
    • Vijiji: 0
    • Vitongoji: 0
  2. Jimbo la Ifakara (Mji wa Ifakara)
    • Kata: 19
    • Mitaa: 33
    • Vijiji: 48
    • Vitongoji: 214
  3. Jimbo la Gairo (Wilaya ya Gairo)
    • Kata: 18
    • Vijiji: 66
    • Vitongoji: 316
  4. Jimbo la Mlimba (Wilaya ya Mlimba)
    • Kata: 16
    • Vijiji: 62
    • Vitongoji: 244
  5. Jimbo la Kilosa (Wilaya ya Kilosa)
    • Kata: 40
    • Miji Midogo: 2
    • Vijiji: 138
    • Vitongoji: 811
  6. Jimbo la Malinyi (Wilaya ya Malinyi)
    • Kata: 10
    • Vijiji: 33
    • Vitongoji: 163
  7. Jimbo la Morogoro Kusini (Wilaya ya Morogoro)
    • Kata: 31
    • Vijiji: 149
    • Vitongoji: 734
  8. Jimbo la Mvomero (Wilaya ya Mvomero)
    • Kata: 30
    • Vijiji: 130
    • Vitongoji: 687
  9. Jimbo la Ulanga (Wilaya ya Ulanga)
    • Kata: 21
    • Vijiji: 59
    • Vitongoji: 222
UPDATES
- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

- LGE2024 - Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe

- LGE2024 - RC Malima: Mume haruhusiwi kumkataza mke kujiandikisha, akibainika atakamatwa

- LGE2024 - TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

- LGE2024 - Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya kuchukua na kurudisha Fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, siku zaongezwa

- LGE2024 - CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi

- LGE2024 - Amos Makalla: Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

- LGE2024 - Morogoro: CHADEMA wafichua uwepo wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kwenye kambi ya Jeshi ya JKT

- LGE2024 - CUF: Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilikuwa na dosari, tunashauri muda uongezwe

- LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Morogoro: Msimamizi wa Uchaguzi Kilosa amjibu Mbowe kuhusu Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa

- LGE 2024 - CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa

- LGE2024 - CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

- LGE2024 - Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

- LGE2024 - Kilombero: Wanachama wa CHADEMA wakamatwa wakidaiwa kufanya vurugu

- LGE2024 Kilombero: Wanachama wa CHADEMA wakamatwa wakidaiwa kufanya vurugu

- LGE2024 - Professor Jay arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi kwa kishindo

- LGE2024 - Prof. Jay awaomba wananchi Kisanga kuichagua CHADEMA ili kuweka msingi mzuri kwaajili ya uchaguzi wa Rais 2025

- LGE2024 Twaha Mwaipaya atikisa Kilombero

- LGE2024 Mjumbe Kamati Kuu CCM Arusha: CHADEMA wana sumu mimi nina maziwa

- LGE2024 Mnyika: Mkipiga kura hakikisheni hamuondoki kwenye vituo

- Kuelekea 2025 Wananchi Morogoro wabubujikwa machozi ya furaha Rais Samia kutunikiwa Udaktari wa Heshima! Ukiwahesabu hao watu ni 2 tu!

- Morogoro: Timu ya Wamasai yatinga 16 Bora Kombe la Pamoja na Mama. Rushwa nyingine ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakipiga kelele!

- LGE2024 - Morogoro: CHADEMA yadai Mwenyekiti wao wa Kanda ya Kati ajeruhiwa wakigombea Uwanja na CCM

- LGE2024 - Amos Makalla: Mawakala wetu watalinda kura ipasavyo

TAARIFA ZA MIKOA MINGINE
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

- LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

IDADI YA WATU WALIOJIANDIKISHA
- LGE2024 - News Alert: - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
Prof Jay atakiwasha huko mambo yakigeuka
 
Back
Top Bottom