RESOLVED DOKEZO Morogoro Mjini, Mtaa wa Bomaroad bomba limepasuka linamwaga maji safi miezi 6 hakuna anayejali

RESOLVED DOKEZO Morogoro Mjini, Mtaa wa Bomaroad bomba limepasuka linamwaga maji safi miezi 6 hakuna anayejali

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest

Wananchi tumeshindwa kupaza sauti ikasikika, Morogoro Wilaya ya Morogoro Mjini, Kata ya Mji Mkuu, Mtaa wa Bomaroad kuna bomba la maji safi limepasuka, lina miezi takribani 6 sasa linavuja tu.

Tumefuatilia sana hakuna matengenezo yoyote, watu wengine wanalia hawana maji huku mengine yanamwagika hovyo na hakuna anayechukua hatua.

Hatua zimechukuliwa ~ MORUWASA: Bomba lililopasuka Mtaa wa Bomaroad imerekebishwa
 
Back
Top Bottom