Wananchi tumeshindwa kupaza sauti ikasikika, Morogoro Wilaya ya Morogoro Mjini, Kata ya Mji Mkuu, Mtaa wa Bomaroad kuna bomba la maji safi limepasuka, lina miezi takribani 6 sasa linavuja tu.
Tumefuatilia sana hakuna matengenezo yoyote, watu wengine wanalia hawana maji huku mengine yanamwagika hovyo na hakuna anayechukua hatua.