Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Nina wiki sasa hapa Morogoro mjini, cha kushangaza umeme unakatika kila siku,sio asubuhi,mchana au usiku.
Nimeongea na wenyeji wanasema wameshajizoelea hizi shida. Tunamuomba Waziri mwenye dhamana ashughulikie tatizo la umeme huku Morogoro,wananchi wanateseka sana,shughuli za kiuchumi zimesimama,majenereta yanapiga kelele kila kona,yani ni vurumai tu. Mikoa mingine sijui hali ikoje huko.