KERO Morogoro mjini, umeme unakatika kila siku

KERO Morogoro mjini, umeme unakatika kila siku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,937
Reaction score
3,959
Nina wiki sasa hapa Morogoro mjini, cha kushangaza umeme unakatika kila siku,sio asubuhi,mchana au usiku.

Nimeongea na wenyeji wanasema wameshajizoelea hizi shida. Tunamuomba Waziri mwenye dhamana ashughulikie tatizo la umeme huku Morogoro,wananchi wanateseka sana,shughuli za kiuchumi zimesimama,majenereta yanapiga kelele kila kona,yani ni vurumai tu. Mikoa mingine sijui hali ikoje huko.
 
Endeleeni kuimba CCM mbele kwa mbele na Mama anaupiga mwingi. Ipo siku akili zitawakaa sawa.
 
Huo NI Msiba wa Taifa ndugu .DOM, DUWASA wanatuuzia maji Yana chumvi Sana Binafsi sielewi inakuaje
 
Kwaio sisi tufanyeje......maana wahusika wana sanduku la maoni
Kuja kusemea hapa JF ni uoga
 
Back
Top Bottom