Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mamndenyi umeongea kama mwanaume wallah..!!Nyie wanawake nyie, shauri zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamndenyi umeongea kama mwanaume wallah..!!Nyie wanawake nyie, shauri zenu.
Hivi kuna siku utajua mawazo ya mwingine bila yeye kukuambia??Kuna muda jifunzeni kuishi pekeyenu....kuishi na MTU usiyemjua moyoni anawazaje ndani ni sawa na kujitoa mhanga....kubaliana na yote
Kumbe jamaa ni mafia?Waluguru hata kwa buku wanaondoa uhai wako, hao jamaa sio watu kabisa. Wako kama wazanaki, mzanaki kama anakudai elfu 10, yuko tayari alipe mtu elfu 15 aje kukuua usipolupa deni.
Huyo alipewa 50k alipewa hela nyingi sana. Tegemea hapo amefanya kazi yake kwa umakini mkubwa sana maana ujira ni mkubwa sana.
Waluguru, wakaguru sio watu.
mbona kama ni wasukuma -MaghashiWaluguru hata kwa buku wanaondoa uhai wako, hao jamaa sio watu kabisa. Wako kama wazanaki, mzanaki kama anakudai elfu 10, yuko tayari alipe mtu elfu 15 aje kukuua usipolipa deni.
Huyo alipewa 50k alipewa hela nyingi sana. Tegemea hapo amefanya kazi yake kwa umakini mkubwa sana maana ujira ni mkubwa sana.
Waluguru, wakaguru sio watu.
HakunaHivi kuna siku utajua mawazo ya mwingine bila yeye kukuambia??
Kwakweli 😀Kataa Ndoa wanajipatia marks hapa.