Morogoro: Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe ili aolewe na mwanaume mwingine

Kumbe jamaa ni mafia?
 
mbona kama ni wasukuma -Maghashi
 
Tatizo lilikua nini??

Tusiwe wepesi kutoa hukumu kumbe nyuma ya pazia kila mmoja alikua anamvizia mwenzie. Bibie kamuwahi mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…