Morogoro: Mkuu wa Mkoa asitisha mfumo wa stakabadhi ghalani ili kuwabeba walanguzi

Morogoro: Mkuu wa Mkoa asitisha mfumo wa stakabadhi ghalani ili kuwabeba walanguzi

Stakabadhi gharani ni udalali yaani ingekua inatoka cash sawa, lakini mtu anashida hadi akukopeshe wewe chama cha ushirika unaesimama kama dalali hapana big no huko tulishatoka kalima apate chake chapchap mambo yaishe
Jaribu kujifunza hata kama wewe ni kiazi.

Chama Cha Ushirika hakinunui mazao bali serikali imefanya iwe platform tu. Mnunuzi analipa moja kwa kwa Mkulima ndani ya masaa 48.
 
Ninyi watu wa ushirika limeni mazao yenu ndio muweke huo mfumo wenu kwenye mazao yenu mnajifanya kutetea mkulima ilihali nanyi wapigaji tu maana ni madalali ambao toka mtu anaandaa shamba, anapanda, parizi hampo mnajifokeza kwenye kuuza huo ujinga haupo dunia ya leo
Wewe utakuwa dalali
 
Waziri wa Kilimo hayupo? Bashe yupo mpigie simu au nenda ukurasa wao rasmi katoe malalamiko..

Wewe achana na porojo zake hao watu wa ushirika ni wapuuzi kama wapuuzi wengine nao ni madalali hatari kuliko kawaida waulize kama wana cash zaidi ya maneno matupu na kuwakopa wakulima bila sababu wapuuzi hao
 
Wewe utakuwa dalali

Hamna pesa mnatumia maneno ushirika hamna mtaji, nchi imefunguka mkulima atauza popote mambo ya kuwakopa wakulima hakuna mzee tafuta kazi nyingine nimekuona ulianza kulialia na kyela sasa umehamia moro mtakula jeuri yenu
 
Kama mnaakili fungueni magodown, kaeni na cash mkulima apime mazao mumlipe hapo hapo sio janja janja wakati hamna mtaji, hakuna mkulima anataka ujinga wakati anaumia hampo mnataka mshirikiane na mkulima kwenye mavuno akili ndogo sana mnayo
 
Mimi nilichowahi sikia eti wakulima wanabaki na karatasi ya kuwa ameuza bila ya fedha mkononi halafu huanza kufuatilia malipo yake.na akija kulipwa mnakata kata makato kibaooo.
 
Jaribu kujifunza hata kama wewe ni kiazi.

Chama Cha Ushirika hakinunui mazao bali serikali imefanya iwe platform tu. Mnunuzi analipa moja kwa kwa Mkulima ndani ya masaa 48.

Mbona mnakimbiwa sasa na wakulima porojo hizo watu hawataki platform gani hamna mtaji sema ni madalali kama wengine tofauti ushirika hawana tajiri mmoja
 
Mimi nilichowahi sikia eti wakulima wanabaki na karatasi ya kuwa ameuza bila ya fedha mkononi halafu huanza kufuatilia malipo yake.na akija kulipwa mnakata kata makato kibaooo.

Ushirika hamna kitu ni janja janja unamtafutia soko mtu ambae haukumsaidia toka kuandaa shamba, kupanda, parizi unajitokeza kwenye kuvuna nani anataka huo ujinga dunia ya leo
 
Kama mkulima atauza kwenye bei ndogo ninyi mnaumia nini kaamua mwenyewe bila kulazimishwa ushirika na ujinga wenu mfie mbali
 
Hamna pesa mnatumia maneno ushirika hamna mtaji, nchi imefunguka mkulima atauza popote mambo ya kuwakopa wakulima hakuna mzee tafuta kazi nyingine nimekuona ulianza kulialia na kyela sasa umehamia moro mtakula jeuri yenu
I can't argue with a fool. Kama hujui mfumo wa stakabadhi ghalani unafanyake kazi basi wewe huna hadhi kufanya majadiliano ma mimi.
 
Kama mkulima atauza kwenye bei ndogo ninyi mnaumia nini kaamua mwenyewe bila kulazimishwa ushirika na ujinga wenu mfie mbali
Bora uuze hela ndogo upate hela yako cash kuliko hela ya kungoja kwa miezi kibao
 
Bora uuze hela ndogo upate hela yako cash kuliko hela ya kungoja kwa miezi kibao

Wamezoea kupiga pesa kwenye karatasi shigela safi sana, mtu kavuna anataka auze amalize shida zake walivo wajinga utakuta swaga malipo awamu ya kwanza mara awamu ya pili mkulima anawadai miezi kibao mwanzo utaambiwa masaa 48 pesa inatoka kumbe hawana lolote unakanyaga miezi hadi miwili unasubiri jasho lako, upuuzi wao wakulima hawataki hata kuwasikia
 
Mfumo unamleteaje mtu ambao haukuhusika wakati anahangaika, simple limeni mazao yenu halafu ndio muweke huo mfumo sasa muuze mazao mliyolima ninyi kama ushirika
 
Mimi nilichowahi sikia eti wakulima wanabaki na karatasi ya kuwa ameuza bila ya fedha mkononi halafu huanza kufuatilia malipo yake.na akija kulipwa mnakata kata makato kibaooo.
Utakuwa ulisikia vibaya.

Katika mfumo wa Stakabadhi ghalani umeonyesha mafanikio makubwa na ndio unaotumika kuuza korosho, kakao, kahawa Mbeya, ufuta mikoa ya kusini yote.

Na hakuna hata sehemu ambayo kuna watu hawajalipwa. Ukitaka upigwe mawe na wakulima wa kusini au wa Kyela basi nenda kawaambie unaondoa ushirika au Stakabadhi ghalani.

Ushirika unawasaidia katika;

1. Upatikanaji wa pembejeo kwa bei rahisi au mkopo.

2. Upatikanaji wa mbolea kwa bei rahisi.

3. Kusimamia ubora wa mazao wanayozalisha.

4. Kutafuta wanunuzi wenye kutoa bei nzuri.

5. Na serikali inatoa bei elekezi kulingana na bei ya soko la dunia.

6. Uhamasishaji wa watu kulima zaidi.
 
Ngoja tupige ufuta wa mbeya, moro, baadae tukakanyage wa malawi, kahawa kama kawaida tutaikanyaga pia mtabaki na labda mwaka huu
 
Mimi nilichowahi sikia eti wakulima wanabaki na karatasi ya kuwa ameuza bila ya fedha mkononi halafu huanza kufuatilia malipo yake.na akija kulipwa mnakata kata makato kibaooo.
Huu ni upuuzi ambao hauvumiliki, kila mtu atauza anapotaka kutatua matatizo yake,

Wakitaka kuja huko ghalani watukuja!! Ambao hawataki pia ni mali yao acha wauze wanapotaka wao!!

Mkuu wa Mkoa yupo sahihi kabisa!! Soko ni huru!!
 
Utakuwa ulisikia vibaya.

Katika mfumo wa Stakabadhi ghalani umeonyesha mafanikio makubwa na ndio unaotumika kuuza korosho, kakao, kahawa Mbeya, ufuta mikoa ya kusini yote.

Na hakuna hata sehemu ambayo kuna watu hawajalipwa. Ukitaka upigwe mawe na wakulima wa kusini au wa Kyela basi nenda kawaambie unaondoa ushirika au Stakabadhi ghalani.

Ushirika unawasaidia katika;

1. Upatikanaji wa pembejeo kwa bei rahisi au mkopo.

2. Upatikanaji wa mbolea kwa bei rahisi.

3. Kusimamia ubora wa mazao wanayozalisha.

4. Kutafuta wanunuzi wenye kutoa bei nzuri.

5. Na serikali inatoa bei elekezi kulingana na bei ya soko la dunia.

6. Uhamasishaji wa watu kulima zaidi.

Wewe so ndo ulikuwa unalalamika. kwenye uzi mmoja kuwa wakulima wa Kyela wanaumuzia 7jamaa mmoja Kakao yao badala ya kuuza ushirika,

Richard Temu: Mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

Sasa hv unasema ukitaka watu wa Kyela wakupige mawe!! ???😎😎🤔🤔
 
Bora uuze hela ndogo upate hela yako cash kuliko hela ya kungoja kwa miezi kibao
Aisee uelewa wenu ni mdogo sana. Mfumo wa stakabadhi ghalani huu mpya baada ya kufanyika mnada, mnunuzi analipa ndani ya masaa 48 direct kwenye akaunti za wakulima ambazo zinakuwepo kwenye invoice. Sio kwamba pesa inapitia kwa Chama Cha Ushirika. Na makampuni yote yaliojiorodhesha yanakuwa yameweka dhamana ya pesa ili akibid na kushindwa kulipa basi ile pesa inachukuliwa na wakulima wanalipwa. Ni kama mabenki yanavyofanya. Yanakuwa na deposit bank kuu.
 
Wewe so ndo ulikuwa unalalamika. kwenye uzi mmoja kuwa wakulima wa Kyela wanaumuzia 7jamaa mmoja Kakao yao badala ya kuuza ushirika,

Richard Temu: Mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

Sasa hv unasema ukitaka watu wa Kyela wakupige mawe!! ???😎😎🤔🤔
Labda nikujengee uwezo. Mkulima anayeuza ni yule mwenye kilo chache . Tuseme kama 5 hadi 20 hivi. Huyu hupitia hao wakulima na kukusanya huo mzigo kisha hana budi kupeleka kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani. Kisha wahindi wanampa pesa kwenda kufanya bidding kwenye mnada. Ikitokea ameshinda basi mzigo wao. Wakishindwa na kampuni nyingine basi ime margin ya Kangomba ndio wanakuwa wamepata. Sasa kwa kuwa mfumo unawabana wanashindwa kuitoa ile kakao nje ya wilaya. Sasa wakiua mfumo basi wakilangua wataitoa moja kwa moja. Na pia mfumo ukifa hakutakuwa na bei elekezi ya Serikali. Hivyo mkulima atauza kwa bei wanayotaka walanguzi.
 
Back
Top Bottom