nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
-
- #21
Jaribu kujifunza hata kama wewe ni kiazi.Stakabadhi gharani ni udalali yaani ingekua inatoka cash sawa, lakini mtu anashida hadi akukopeshe wewe chama cha ushirika unaesimama kama dalali hapana big no huko tulishatoka kalima apate chake chapchap mambo yaishe
Wewe utakuwa dalaliNinyi watu wa ushirika limeni mazao yenu ndio muweke huo mfumo wenu kwenye mazao yenu mnajifanya kutetea mkulima ilihali nanyi wapigaji tu maana ni madalali ambao toka mtu anaandaa shamba, anapanda, parizi hampo mnajifokeza kwenye kuuza huo ujinga haupo dunia ya leo
Waziri wa Kilimo hayupo? Bashe yupo mpigie simu au nenda ukurasa wao rasmi katoe malalamiko..
Wewe utakuwa dalali
Jaribu kujifunza hata kama wewe ni kiazi.
Chama Cha Ushirika hakinunui mazao bali serikali imefanya iwe platform tu. Mnunuzi analipa moja kwa kwa Mkulima ndani ya masaa 48.
Mimi nilichowahi sikia eti wakulima wanabaki na karatasi ya kuwa ameuza bila ya fedha mkononi halafu huanza kufuatilia malipo yake.na akija kulipwa mnakata kata makato kibaooo.
I can't argue with a fool. Kama hujui mfumo wa stakabadhi ghalani unafanyake kazi basi wewe huna hadhi kufanya majadiliano ma mimi.Hamna pesa mnatumia maneno ushirika hamna mtaji, nchi imefunguka mkulima atauza popote mambo ya kuwakopa wakulima hakuna mzee tafuta kazi nyingine nimekuona ulianza kulialia na kyela sasa umehamia moro mtakula jeuri yenu
Bora uuze hela ndogo upate hela yako cash kuliko hela ya kungoja kwa miezi kibaoKama mkulima atauza kwenye bei ndogo ninyi mnaumia nini kaamua mwenyewe bila kulazimishwa ushirika na ujinga wenu mfie mbali
I can't argue with a fool. Kama hujui mfumo wa stakabadhi ghalani unafanyake kazi basi wewe huna hadhi kufanya majadiliano ma mimi.
Bora uuze hela ndogo upate hela yako cash kuliko hela ya kungoja kwa miezi kibao
Utakuwa ulisikia vibaya.Mimi nilichowahi sikia eti wakulima wanabaki na karatasi ya kuwa ameuza bila ya fedha mkononi halafu huanza kufuatilia malipo yake.na akija kulipwa mnakata kata makato kibaooo.
Huu ni upuuzi ambao hauvumiliki, kila mtu atauza anapotaka kutatua matatizo yake,Mimi nilichowahi sikia eti wakulima wanabaki na karatasi ya kuwa ameuza bila ya fedha mkononi halafu huanza kufuatilia malipo yake.na akija kulipwa mnakata kata makato kibaooo.
Utakuwa ulisikia vibaya.
Katika mfumo wa Stakabadhi ghalani umeonyesha mafanikio makubwa na ndio unaotumika kuuza korosho, kakao, kahawa Mbeya, ufuta mikoa ya kusini yote.
Na hakuna hata sehemu ambayo kuna watu hawajalipwa. Ukitaka upigwe mawe na wakulima wa kusini au wa Kyela basi nenda kawaambie unaondoa ushirika au Stakabadhi ghalani.
Ushirika unawasaidia katika;
1. Upatikanaji wa pembejeo kwa bei rahisi au mkopo.
2. Upatikanaji wa mbolea kwa bei rahisi.
3. Kusimamia ubora wa mazao wanayozalisha.
4. Kutafuta wanunuzi wenye kutoa bei nzuri.
5. Na serikali inatoa bei elekezi kulingana na bei ya soko la dunia.
6. Uhamasishaji wa watu kulima zaidi.
Aisee uelewa wenu ni mdogo sana. Mfumo wa stakabadhi ghalani huu mpya baada ya kufanyika mnada, mnunuzi analipa ndani ya masaa 48 direct kwenye akaunti za wakulima ambazo zinakuwepo kwenye invoice. Sio kwamba pesa inapitia kwa Chama Cha Ushirika. Na makampuni yote yaliojiorodhesha yanakuwa yameweka dhamana ya pesa ili akibid na kushindwa kulipa basi ile pesa inachukuliwa na wakulima wanalipwa. Ni kama mabenki yanavyofanya. Yanakuwa na deposit bank kuu.Bora uuze hela ndogo upate hela yako cash kuliko hela ya kungoja kwa miezi kibao
Labda nikujengee uwezo. Mkulima anayeuza ni yule mwenye kilo chache . Tuseme kama 5 hadi 20 hivi. Huyu hupitia hao wakulima na kukusanya huo mzigo kisha hana budi kupeleka kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani. Kisha wahindi wanampa pesa kwenda kufanya bidding kwenye mnada. Ikitokea ameshinda basi mzigo wao. Wakishindwa na kampuni nyingine basi ime margin ya Kangomba ndio wanakuwa wamepata. Sasa kwa kuwa mfumo unawabana wanashindwa kuitoa ile kakao nje ya wilaya. Sasa wakiua mfumo basi wakilangua wataitoa moja kwa moja. Na pia mfumo ukifa hakutakuwa na bei elekezi ya Serikali. Hivyo mkulima atauza kwa bei wanayotaka walanguzi.Wewe so ndo ulikuwa unalalamika. kwenye uzi mmoja kuwa wakulima wa Kyela wanaumuzia 7jamaa mmoja Kakao yao badala ya kuuza ushirika,
Richard Temu: Mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja
Sasa hv unasema ukitaka watu wa Kyela wakupige mawe!! ???πππ€π€