Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Demokrasia inataka kuwaacha wananchi wamuadhibu wenyewe Ney wenyewe kwa 'kumkashifu" mtu wao kwa kuupuuza na kuacha kuupakuwa wimbo, vinginevyo tutampandisha chati bila sababu za msingi.Msanii wa kizazi kipya Emanuel Elibarik alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro
View attachment 486993
Sehemu ya wimbo wa Ney wa Mitego:
=======
Hivi Uhuru wa Kuongea bado upo? Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki!
Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti? Wapooo! Mheshimiwa hivi unamjua Bashite kutoka Kolomije? We si Dokta wa kutumbua majipu?
We mtu gani sasa? Hutaki kushauriwa, hutaki kukosolewa? ...Naona kichaa kapewa rungu! Hahahaha
Sasa mbona unajichanganya ebu soma ulicho andika jiepushe na ku turn hostileWimbo upo vizuri kabisa ukiusikiliza hamna kosa lolote la kisheria, aliyoyasema kwenye wimbo ndiyo hayo yanayosemwa kila siku kwa mfano swala la kufoji vyeti aliloliimba na kumtaja Bashite mbona hata Gwajima analisema kila siku kanisani hakamatwi? Swala la mkuu kutoshaurika mkuu alikiri mwenyewe kuwa hashauriki sasa sioni kama nay ameimba kigeni, sijui kichaa kupewa rungu na hajamtaja mtu sasa ana kosa gani hii ni fasihi, sema kwa kuwa tuna dikteta uchwara basi atafanya kila namna ili kumuonea nay halafu kesho anawahi kanisani kumkejeli Mungu akijiita mpenzi wa Mungu mpenzi wa Mungu muonevu?
"Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana" in Mwakasege's voice
Naon kwa sabab ya hapowe mtu gani hutaki kushauriwa hutaki kukosolewa, umerogwa wewe unajiona ndugu yake na yesu eeehh!