Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,133
- 3,758
Waathirika wa ngada!!Huwa sibishani na wapu.Uzi aisee hapa utakiingia cha kike, uliza hao waathirika wa ngada wenzio watakujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waathirika wa ngada!!Huwa sibishani na wapu.Uzi aisee hapa utakiingia cha kike, uliza hao waathirika wa ngada wenzio watakujibu.
Aibu br...pakua huo mziki utausikia.lengo ni jema ila contents na ukali wa maneno kwakweli unaleta ukakasi kidogo na hasa pale anaposema watu wamemkumbuka kikwete maanake anaonesha ni nani amemtageti na hayo matusi...sio sawa ktk nchi yenye watu wenye tamaduni ambazo bado zinaheshimu wakubwa.huko kwa wenzetu wala haina shida.sisi hatujafika hukoHayo maneno ya mwishoni kamtukana nani na kwa ku semaje.
Wenye heshima wataheshimiwa, sio lazima kuwaheshimu wakoloni* heshima hailazimishwi.Kweli kabisa.hatujafikia hapo jamani ndio maana kuna kautamaduni pia ndani ya maisha yetu.huko juu wamefikia hapo kwenye "freedom of speech" wakisaidiwa na utamaduni..sasa kwa jamii zetu ambapo mamamkwe hatakiwi aone hata sura ya kidume aliyeoa mwane haya maneno yangeachwa kwanza tusogeesogee hata 2050 huko ili kizazi hiki kipite..shule za kata zimeleta uchangamfu kiasi kwamba yale yaliyokuwa yakitokea Dar enzi hizo yalikuwa yanafika bara baada ya mwaka mzima.misemo,fasheni n.k.lakini kwa hivi sasa jambo la hovyo likitokea Dar linasambaa ndani ya nusu saa hadi kwetu ihanzutwa kule mafinga. Huko kwenye freedom of speech wanaruhusu ndoa za jinsia moja,wasagaji n.k.....Ni sawa lakini nadhani bado tunahitaji kulinda na kuheshimu mila na utamaduni wetu wa kuheshimu wakubwa zetu na kutowatolea maneno ya kejeli kupita kiasi.
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Ananguvu za kukata katani?tupo nae gereza la mbigiri hapa dakawa.
KweliWenye heshima wataheshimiwa, sio lazima kuwaheshimu wakoloni* heshima hailazimishwi.
Haya na wewe tukana uone kama hutasumbua jamii yako kuhangaika kukuwekea dhamana badala ya kufanya shuguli za kuingiza kipatoAcha kutuuambukiza uoga wa kitoto
Kakutukana wewehajamtukana mtu
Ni fundi cherehani?hapa nausikiliza inawezeka aliyetoa amri ya kukamatwa kwake ni huyo aliyepoteza marinda
Wanatudisha harakati za chadema nyuma kwa mambo ya kijingaHv unazan hvyo viwanda utavipata kwelii au utaambulia viwonder tuu
Yaan wakuluu wako chonjo kuangalia ni nani anaempinga na kusoma mitandao inasemajee ila poa freedom will come soon
Ila hyo kesi lissu ataisimamia na hakuna mtu atakaefungwa hapa
Mmebaki na mihemko ametukana hamna hata mmoja wenu aliyetaja hilo tusi.. Na wewe umekuja na yale yale taja tusi.. Zaid ni kufata mkumboUhuru wako ukiutumia vibaya ujue unajigharim mwenyewe.
Nani alikupa Uhuru wa kutukana? Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hakuruhusu kila kitu ujifanyie unavyotaka bana.
Hakuna Uhuru wa kutukana,kukejeri,na kutumia lugha ya maudhi.
Heshima ya mtu haitokani na umri, kazi au cheo chake ndani ya jamii, bali huduma yake kwa anaowahudumia (Nyerere). Aina ya huduma na unavyoitoa ni muhimu sana kwenye upataji wa heshima.Aibu br...pakua huo mziki utausikia.lengo ni jema ila contents na ukali wa maneno kwakweli unaleta ukakasi kidogo na hasa pale anaposema watu wamemkumbuka kikwete maanake anaonesha ni nani amemtageti na hayo matusi...sio sawa ktk nchi yenye watu wenye tamaduni ambazo bado zinaheshimu wakubwa.huko kwa wenzetu wala haina shida.sisi hatujafika huko
Kamuwekee dhamana mkuu husijifiche nyuma ya keyboardwale wanaogomea front page, waliopoteza marinda, walofoji vyeti na maamuzi ya kisen*e ndo wamenuna kusikia huu wimbo!