Huo ndio utetezi wenu wa KIPUUZI mlio nao.....ila ukisikiliza VIZURI huo wimbo utajua kabsa MLENGWA NI NANI.....Wapi ametaja rais
Pohamba ushageuka wenzio mara hii?bado lizaboni tu sasa
Kwa kosa lipi au ww ndo balshite??Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Ni wapi kwenye wimbo wake ametukana?Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
MbeleNi wapi kwenye wimbo wake ametukana?
Mmmm. Tafta post humu jf iliyoweka huu wimbo humu juziMwenye huo wimbo wa Ney anirushie tafadhali