Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Kibongo bongo bwana uxhabiki kwanza

Fikra,mawazo,mitazamo vyote tupa kule
 
Pohamba ushageuka wenzio mara hii?bado lizaboni tu sasa

Akipatia Mtu yeyote namsifia na Kumuunga Mkono na akikosea namponda na kumkosoa!

Usishangae ukikuta sehemu nyingine namsifia!

Sipo kiushabiki
 
Sasa mbona wanaipa Mileage tuu na Internet ilivyosambaa siku hizi wanaingezea wasikilizaji tuu
 
We Si Daktari wa majipu tumbua acha kuvunga!
Hapo patamu Mkuu Imeze hata kama ni chungu nidhamu ya Uoga kwako Mwiko.
 
Huu wimbo Serikali imeupandisha chati hadi kufikia status ya ' song of freedom'. Mitaani unarindima 24/7.
 
Nenda ney kule sio motoni ila nikifungoni wewe omba kumpata anae hisi katukanwa muende nae mahakamani. Akwambie umemtukana vipi
 
Back
Top Bottom