Kamua baba wa ccm wakichukia walambe ndimuMimi nilikuwa siujui ndo naupiga sahizi kwenye sabufa mtaa mzima wamezima viredio vyao kuusikiliza...umehit
Woga wa kuongea na ww pia ni muoga kama waoga wengine,acha wanaoweza kuongea waongee tutajazwa jela zote.Mr front page na nay wote wapenda mijisifa mkuu
we ndo ney wa mitego? alafu ney hajatukana katoa hisia zake. kama kuna mtu anahisi ametukanwa si aende mahakamani.Weshaona fashion sikuizi kutukana, wameharibu jf sikuhizi nayo hovyo tu, huyo wanayemuiga yuko States na hawezi kanyaga Tz, muda si mrefu jf tunaipoteza maana naona hata mods ni kama wanatumika.
Alifanya kosa gani huyu jamaa?
Sasa hapa tusi liko wapi hii nchi siyo monarchy hadi mkuu asikosolewe hata wakienda kwa cort lazima wabwage maana hapo wanahisia tu kuwa fulani kasemwa. Na lissu atanunua hiyo kesi. Nchi za wenzetu wale marepa wa marekani na mabobu wote walizisema serikali zao mpaka zikanyooka.Msanii wa kizazi kipya Emanuel Elibarik alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro
View attachment 486993
Sehemu ya wimbo wa Ney wa Mitego:
=======
Hivi Uhuru wa Kuongea bado upo? Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki!
Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti? Wapooo! Mheshimiwa hivi unamjua Bashite kutoka Kolomije? We si Dokta wa kutumbua majipu?
We mtu gani sasa? Hutaki kushauriwa, hutaki kukosolewa? ...Naona kichaa kapewa rungu! Hahahaha
Apae Mbinguni basi kama yeye nisawa na Yesu. Rais gan hana utu.!We mtu gani sasa hutaki kushauriwa,hutaki kukosolewa,
Umelogwa wewe unajiona ndugu yake na yesu eeeeh
[emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji1]
Kwa voice ya Nay wa mitego
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mahakama itaamuaSafi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Mkuu kuzaliwa na kukulia uswahilini ni shida lakini pia ukiamua kufanya vitu kwa magumashi lazima kila wakati ujishuku,yaani hata ukikuta jamaa wamekaa somewhere unahisi wanakujadiri wewe.no way unaweza kuishi kwa amani ukiwa unafanya vitu vya hovyo kwa jamiiAmemkaahifu amemwambia nini???Wataisoma.number au hashauriki??Amesema.mwenyewe hashauriki.sasa!Amemtaja jina??Akili zetu wakati mwingine ni za ajabu sana.Siye tunaisikiliza ipo You tube.