Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Wimbo nimeshausave tayari, kidogo kidogo watu watazoea kukamatwa na kuwekwa ndani!
 
Tangia nilipoamka hadi muda huu leo nishausikiliza huo wimbo sio chini ya mara tano
 
Kwani Dokta mtumbua majipu ndio nani? Nani Ni Chizi Aliyepewa Rungu? Nani anayeitwa BASHITE kutoka KOLOMIJE? Kwani anawazungumzia wao?
 
Acha kumlinganisha mbowe wewe. Mbwe angekuwa raisi asingembeba bashite.
 
Acha kumlinganisha mbowe na vchaa wewe. Mbwe angekuwa raisi asingembeba bashite.
Hatutaki mtu lege lege asie na misimamo, mara kesho kuna ukuta mara oooh tumesigeza mbele mara oooh viongozi wa dini, hivi angekua rais uyu hali ingekuaje
 
kweli bhana ule wimbo una matusi sana...ila kwa wale wanaoshabikia upande mwingine wa shilingi hawataona matusi
 
Vijana mliopo bongo msijifanye kumuiga MANGE KIMAMBI mtaumia na kuzipa familia zenu shida,hari ishakuwa mbaya .
Safi sana, wanamgeza mange, mwenzao yupo US, halafu natamani sana hao wanaojirekodi huko install kukashifu viongozi wakamatwe
 
Umaarufu wa kulazimisha huo,yaan wanatafuta mbinu ya kujikamatisha wenyewe ili majina yao yasikike masikioni pa watanzania,embu ona eti nawapenda watanzania wote.
Nae eti anajifanya shujaa... Kweli while muhimu... Siku hizi kila mtu akiitukana serikali wanaluita shujaa.. Sasa cjui akina Mandela na nyerere tuwaitaje
 
ME NADHANI WAMBANE TU ATAJE HAO VIONGOZI ALIOSEMA "WANAKULA BANGI MANA wana MAAMUZI YA KI*****."

RAIA TUNAPENDA KUWAFAHAMU MANA TUNAWAHISI TU KAMA YULE ALIYESEMA POLISI KITAMBULISHO CHAKE NI BASTOLA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…