Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Nasikia 'ga' Ethiopia imejitahidi sana katika miundo mbinu ya barabara na usafiri kwa ujumla na ni moja ya nchi yenye uchumi imara mashariki na pembe ya Africa lakini mara zote watu wao wanataka kukimbia nchi yao mpaka wana hatarisha maisha na wengine kufa kwa kufungiwa ktk containers na sababu watu hawapo huru to speak out their mind
 
Mtukufu kasema hapangiwi na mtu cha kufanya sasa mbona anataka kutupangia sie cha kuongea?? Yule kiumbe vipi jamani kwani.
 
Ivi kama kweli ney kakamatwa kosa lake ni lipi hapooo????
Maana huyo bashite wa kolomije hatumjui km yupo ajitokeze
Na waliofumuliwa marinda je........hahhahahhahahahha wapoooo ?

#####freenation###
 
Hivi unaishi ulaya au Tanzania? Aliye na macho haambiwi ona.
naishi Tanzania, ulaya sijawai fika ila america nimefika, watanzania tuna ushabiki Wa kinafiki sana Mkuu. ndio maana Mh anasema mambo ya umbea kwa sababu hayajengi nchi na hayana faida kwa maslai ya nchi kiujumla wake. ushabiki ushabiki sio mzuri
 
Umeeleweka
 
Uhuru wako ukiutumia vibaya ujue unajigharim mwenyewe.

Nani alikupa Uhuru wa kutukana? Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hakuruhusu kila kitu ujifanyie unavyotaka bana.

Hakuna Uhuru wa kutukana,kukejeri,na kutumia lugha ya maudhi.
Think about Newton's third law of motion , will you think about going back to school sir !!?
Newtons believe there is no reaction if there is no action
 
Mambo mengine kujitakia tu we msanii mkongwe kabisa unawezaje kuimba wimbo wa kipuuzi namna ile?
Hivi kweli hatuna mambo ya mazuri ya kijamii au kiuchumi ya kuimba zaidi ya huu upupu alioimba?
Anatafuta kiki au?
Ili iweje?
Anatumwa?
Au anatumika?
Kwa faida ya nani?
Kwa maslahi yepi ?
Ili apate nini?
Not to that extent!!!!!!!!!
 
Serikali ya kipumbavu
Wanaoongozwa/ wanaotawaliwa na serikali hiyo wakoje?

Ni malofa?
Ni makanjanja?
Ni wadaku na wambea?
Ni mapoyoyo?
Ni wanafiki?
Ni wapumbavu?
Au wanakiherehere?
Ni Mwafaaa?
 
Sio kila kitu mpaka mahakamani tu... anaweza akaonywa tu!
  • Nakubaliana na wewe kwa kiasi, kwamba issue nyingine ni za kutoa onyo, lakini si kwa huyo Ney maana amesha onywa sana
  • Na anafanya makusudi ili kupata sifa/umaarufu, kwanza kupitia wimbo wenyewe, mbili; anatalajia kupata sifa kupitia kuandamwa andamwa na polisi kama vile wanasiasa (Tindu Lisu)
  • Hivyo basi mamlaka zinazo husika zihakikishe anapata funzo takatifu kama yule mbunge wa Arusha


Hakuna kesi hpo mana bashite ni ukoo uko koromijee huko misungwi
Jamaa hana kesi hapo!hajataja mtu mbona?
  • Mamlaka husika (BASATA, Polisi na nk) waki tuliza akili mbona wanamtia hatiani
Sitaki povu, soma uende zako.
 
Reactions: UCD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…