Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Weshaona fashion sikuizi kutukana, wameharibu jf sikuhizi nayo hovyo tu, huyo wanayemuiga yuko States na hawezi kanyaga Tz, muda si mrefu jf tunaipoteza maana naona hata mods ni kama wanatumika.Vijana mliopo bongo msijifanye kumuiga MANGE KIMAMBI mtaumia na kuzipa familia zenu shida,hari ishakuwa mbaya .
Itakua ile nyimbo yake mpya ujulikanaya kwa jina la waposababu nini??
Utakuwa na chuki binafsi naye, siyo bure.Umaarufu wa kulazimisha huo,yaan wanatafuta mbinu ya kujikamatisha wenyewe ili majina yao yasikike masikioni pa watanzania,embu ona eti nawapenda watanzania wote.
Wimbo wake wa kumkashifu mtukufu rais unaitwa "wapo"Kisa cha kukamatwa ni nini?
Tanzania yangu hii! Kama vipi wanzania wote tungekuwa wahehe tungechukua uamuzi wa kujinyonga, basi. Wimbo wa Ney una kashifa gani? Mi naona amewakilisha kile ambacho watanzania wengi tunakijua na tunaamini ni kweli. Uhuru wa mtu kutoa mawazo uko wapi sasa?Wimbo wake wa kumkashifu mtukufu rais unaitwa "wapo"
KaribuUtakuwa na chuki binafsi naye, siyo bure.
Umaarufu wa kulazimisha huo,yaan wanatafuta mbinu ya kujikamatisha wenyewe ili majina yao yasikike masikioni pa watanzania,embu ona eti nawapenda watanzania wote.
Hata mi nashangaa!Watamfanya nin sasa,kesi nin nin pale? Kaimba kawachan wasiopenda ushauri full stop!!...
~~~>>>Hapo hakuna kesi..... Hajamtaja mtu jina