Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

siasa mpaka kwenye bongo fleva... imeanzia kwenye bongo muvi...kweli siasa ni sanaa!
 
Yesu alimaliza kazi yake ndipo akasurubiwa lakini mbegu ya neno ilikuwa ishapandwa kwenye mioyo ya wanadamu..

Ney kasha fanya kazi...
Kumkamata nikusaidia tu wimbo uwafikie watu wengi zaidi,wengi watataka kujua ameimbaje hata kumpelekea akamatwe?; kwa hivyo serkali inajitshidi kujinyoga yenyewe
 
Mlipo ambiwa nchi itanyooshwa kweli kweli mkashangaa kusikia nchi inanyooshwa mkajua labda imepinda
 
Mapambano aliyofufua RC Makonda ni makubwa. Tunapajua Morogoro.
 
"Eti nawapenda sana" huwezi tafta kiki kwa magu ,yeye anatafta respect alaf wewe unatafta kiki.

Respect ipi anayotafuta Magu??Ya kutukana waliompigia Kura??

Hivi unawaambia RAIA wako wanapenda Umbea wakati Kiongozi unasikiliza kipindi cha Shilawadu??

Kama wanapenda Respect afuate sheria.Ukiona hivyo ujue watu wamechoka.Ndiyo ajifunze kutumia kauli njema na pia aende haki.

Kwani kuna MTU anaitwa Bashite??
 
Back
Top Bottom