Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Tanzania yangu hii! Kama vipi wanzania wote tungekuwa wahehe tungechukua uamuzi wa kujinyonga, basi. Wimbo wa Ney una kashifa gani? Mi naona amewakilisha kile ambacho watanzania wengi tunakijua na tunaamini ni kweli. Uhuru wa mtu kutoa mawazo uko wapi sasa?
uhuru sio huu mkuu...kuna maneno mwishoni pale du??
 
Nadhani kuna haja ya kuisambaza tamthilia ya "Mfalme Juha" kwa wadau wote kuanzia koromije mpaka magogoni
 
uhuru sio huu mkuu...kuna maneno mwishoni pale du??
Nakuelewa unachosema mkuu. Tatizo labda reference yako ni Tz yetu ya Magufuli. Ungetembea kidogo huko duniani ungelewa ninachomaanisha. Kwa wenzetu walioendelea wimbo kama huo itakuwa ni kichekesho mtu kukamatwa.
 
Uhuru wa kuongea. Yule mwingine kamuimba JK kumbe alikuwa anataka kuimbwa yeye.

Tenda haki basi!Yeye kaamua pesa zote Chato hakuna anayemzuia asituzuia kusikiliza tunachokipenda.

Aligombea mwenyewe hatukumuomba.
Kamsaidie mkuu kulia humu hakusaidi gereza zuri Tanzania ni keko pekee yake
 
Respect ipi anayotafuta Magu??Ya kutukana waliompigia Kura??

Hivi unawaambia RAIA wako wanapenda Umbea wakati Kiongozi unasikiliza kipindi cha Shilawadu??

Kama wanapenda Respect afuate sheria.Ukiona hivyo ujue watu wamechoka.Ndiyo ajifunze kutumia kauli njema na pia aende haki.

Kwani kuna MTU anaitwa Bashite??
Hahahha dawa inaanza kupenya mnaanza kumkana bashite hahaha
 
Back
Top Bottom