Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Vijana mliopo bongo msijifanye kumuiga MANGE KIMAMBI mtaumia na kuzipa familia zenu shida,hari ishakuwa mbaya .
Lumumba wakikutana na akili Kama zenu wanafurahi Sana maana wanauhakika wa kutawala watakavyo kisa waoga Kama nyie mnao ogopa hata kuuliza eti mnaiga mange kimambi Kama utakuwa mwanaume jiangalie Sana unapokuwa mwoga si ajabu unaweza kutembelea ukweni ukakaa wiki nzima kisa unaogopa kumwambia mkeo muondoke
 
Hii habari ya msanii ney wa mitego kukamatwa huko morogoro ni kweli au
9d1838377c95b0cf9b28b4899ab6be37.jpg
 
Nakuelewa unachosema mkuu. Tatizo labda reference yako ni Tz yetu ya Magufuli. Ungetembea kidogo huko duniani ungelewa ninachomaanisha. Kwa wenzetu walioendelea wimbo kama huo itakuwa ni kichekesho mtu kukamatwa.
Kaiba mvomero ndo maana katoka moro twn wamemrudisha mvomero
 
Lumumba wakikutana na akili Kama zenu wanafurahi Sana maana wanauhakika wa kutawala watakavyo kisa waoga Kama nyie mnao ogopa hata kuuliza eti mnaiga mange kimambi Kama utakuwa mwanaume jiangalie Sana unapokuwa mwoga si ajabu unaweza kutembelea ukweni ukakaa wiki nzima kisa unaogopa kumwambia mkeo muondoke
We huogopi?
 
Back
Top Bottom