Ilikuwa kwenye mfumo wa .wav na nikaibadilisha kwenda mp3 lakini nikitaka kuatach inaniambia this community does not allow this file typeEti imegoma kuatach...au na wewe uliituma iatach kama aliyetumwa hospitali kutibiwa..?? we sema umeogopa kuiweka
Nielekeze namna ya kuattach. Niki highlight hiyo clip inaniambia share whatsapp, email n.k hakina option ya kushare jamii forumweka ushahidi
Maoni yako yanawakikisha uwezo finyu Wa MTU mweusi kujitambua yeye mwenyewe na mazingira yake. Ukweli utakuweka huru. Kemea uovuZa asubuhi wakuu. Leo asubuhi majira ya saa 1:29 nikisikiliza BBC world service, watangazaji walianza kuuelezea mziki wa bongo fleva. Then wakasema a local rapa called emmanuel elibariki, famously known as ney wa mitego has just released his new song "wapo" which means "they exist or they are there" halafu wakaupiga mwote mwanawani. Daaah.
Waliendelea kujadili kuwa the song has brought his problem because he has been arrested. walidai the man is a protester and he has addressed what is actually happening in dar-es-salaam.
My take, tuweni wastaarabu wakuu. Mambo ya kuingilia yasiyokuhusi ndo utaishia kwenda sero. msidhani mna uhuru wa kuimba au kuandika mtakacho. NOT TO THAT EXTENT
Imegoma kuatach .wav clip niliyo irekodi
Hajatajwa jina, ila katajwa kimaudhui (theme)! Sikiliza tena hio tracknay alijua kabisa angekamatwa dikteta asingekubali japo hajatajwa
Attach kutokea jf then ukibrowse nenda ilipo hiyo sauti, format nyingi inakubali humuNielekeze namna ya kuattach. Niki highlight hiyo clip inaniambia share whatsapp, email n.k hakina option ya kushare jamii forum
Acha kufuata mkumbo kuna tusii apooSafi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Relax, maoni yangu hapo sio main topic. Main topic ni mtu kuwa detained.Maoni yako yanawakikisha uwezo finyu Wa MTU mweusi kujitambua yeye mwenyewe na mazingira yake. Ukweli utakuweka huru. Kemea uovu
Kuna sehem katukana?Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Mhhhh unashangiliya nn . mbona ueleweki. [emoji57]Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Nitajie aliyetukanwa na verse ipi niingie utube tena maana nimeurudia mara 2 sijasikia akimtaja mtu hahhaha fasihi safi sanaUhuru wako ukiutumia vibaya ujue unajigharim mwenyewe.
Nani alikupa Uhuru wa kutukana? Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hakuruhusu kila kitu ujifanyie unavyotaka bana.
Hakuna Uhuru wa kutukana,kukejeri,na kutumia lugha ya maudhi.