Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Aibu yao wenyewe, uso unawashukaje?
 
Kwa bao mlilopigwa leo, endelea kutafsiri lolote lile kwa kuchakachua hadi mchoke.

Jana uliyaandika haya!?

Hapa kazi tu
 
Hapo ni kweli maana morogoro RAIA mwema hivi ukikamatwa ukapelekwa huko Mahenge unaweza kusomewa shitaka ukapigwa faini ya buku ukakosa na ukaenda gerezanj
 
Kila mtu atakuja na theory yake. Ila mwisho wa siku hii nchi itaendelea kuendeshwa kimaigizo. Na viwanda vya ahadi mtavisahau kama mlivyosahau maisha bora kwa kila mtanzania.
 
Nina uhakika wa asilimia nyingi kuwa aliyetoa amri ya kukamatwa kwa Nay ni Daudi Albert Bashite RC wa Dsm.
 
Wakati mwingine mjaribu kumtumia mwanasheria kwenu nguli kuliko wote Tanzania bwana Lissu awafundisheni machache kuhusu mwenendo wa makosa ya jinai na kukamatwa kwa Mtuhumiwa na sehemu ya kutendeka kosa.
 
Kama wangeendelea kumshikilia kisa kasema bashite hana cheti basi tungetaka na gwajima akamatwe
 
Mimi najiuliza rais alivyoapishwa tu kachukua gari huyoo mpaka rwanda .

Wakasema ameenda kuzidua ujenzi wa daraja la lusumo mpakani mwa tz na rwanda kisha akaendelea na safari mpaka kigali , ya kigali hatukuyajua sijui alienda HIJA au masomoni au kuchukua PHD ya utawala maana alivyorudi tu ndio zikaanza amri

Tusaidieni lumumba alienda kufanya nini

Mtukufu alienda KUGANDAMIZIA utawala wa kisaikatriki alipenda vile wanavyoishi rwanda raia na kagame maana kutoka dar kwenda dodoma kama kuna msafara wake magari yoote yanasimamiswa barabarani mpaka apite hivi kwani hawajui kuwa hizo barabara zinatumika kibabe kwa kiswahili cha kawaida ,ndege wanazo hata kama hawana wameshindwa kukodi kwa siku moja ilikusafilia kutoka dar kwenda ddm ili kutuachia cc tunaopanda champion , kiruto, sai baba tukaendelea kutumia barabara .

Wa lumumba tunaomba bas mfikishe kaujumbe kwamba cc na wale tuna kosa kufika mahali kwa wakati kwa sababu ya kupigwa pembeni magari yote mpaka mkuu upite
Halafu inakuwa hiendani na ile kauli mbiu yetu ya ha pa kazi tu kwa sababu mda huo tunakuwa kwe basi lililosimama kupisha mkuu upite kwanza.......
 
Hahaa bashite ameogopa kuitwa mahakamani ili kuthibitisha kuwa yeye ni bashite na ametukanwa!
 
Wakati mwingine mjaribu kumtumia mwanasheria kwenu nguli kuliko wote Tanzania bwana Lissu awafundisheni machache kuhusu mwenendo wa makosa ya jinai na kukamatwa kwa Mtuhumiwa na sehemu ya kutendeka kosa.

Limekushuka shuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…